Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Mi yalinikuta kwa hao Wachaga nilibaki kimbaumbau kidogo nidanje, sijui nilitoka vipi ktk lile dimbwi la mauti [emoji849]Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Gambe ni ulabu mkuu.Gambe ndio nini unanishinda kwa misemo ase
Gambe ni ulabu mkuu.
Pole sana ila una bahati mkuu, wengi wameishia kuwa mbolea za migomba kule uchagani.Mi yalinikuta kwa hao Wachaga nilibaki kimbaumbau kidogo nidanje, sijui nilitoka vipi ktk lile dimbwi la mauti [emoji849]
Asante sana Mungu kuniokoa [emoji2960]
Nasikia wewe pale wavuvi camp hata usipokuwa na pesa unalewa kama kawa.Wew bosss wew tajir huko sijafika mkuu
Nasikia wewe pale wavuvi camp hata usipokuwa na pesa unalewa kama kawa.
Story yako kama naifahamu hivi ,, anaitwa nani huyo dadaMimi nishadate na mchaga wa old moshi nikawa namtania alikuwa anachukia japo alinicheat akabeba mimba uko
Hila mwanamke wa kimachame muogope sana akishajua hapa pesa hipo kifo kinakuhusj
Story yako kama naifahamu hivi ,, anaitwa nani huyo dada
Kwa picha hiyo tu inaonekana Mke kafurahia kifo cha Mumewe.Wamevunja na kuingia kuzika mke kakimbia alifunga geti kama ishara ya kuwazuia ..Ina maana wakati ya mazishi mke hakuwepo maana hakutaka azikiwe hapo kwake.
Hapana inaweza kua sio kweli kama navyo waza , nilishakua na mwanamke wa old moshi nikazaa nae mtoto mmoja ,, mambo yalivyo badirika akasepa ,Dah nikikutajia utakuwa ushanijua mkuu na ukinijua itakuwa mbaya
Hapana inaweza kua sio kweli kama navyo waza , nilishakua na mwanamke wa old moshi nikazaa nae mtoto mmoja ,, mambo yalivyo badirika akasepa ,
Akamatwe haraka!! Kuna kitu yaani msiba ghafla huyo mke eti anasema Kuna watu anataka kuwapangisha hta wiki haijaisha🤔.Kwa picha hiyo tu inaonekana Mke kafurahia kifo cha Mumewe.
Nashauri Ndugu wa Mke wafanye juu na chini kuchunguza uhalali wa kifo cha Marehemu.
Akatoa afu alifanyajeBora ata ww umezaa nae mimi alipatia mimba nikiwa nae kwenye mahusiahano
Tunaomba picha zake huyu mdada mtata hadi kwa marehemu, mwenzie kafumba macho jenezani yeye anawaza hela.
Nadhan hata alipokuwa hospital alikuwa anauliza kila mara hajafa??
Ila na sisi wanaume tupo wa ajabu sana, unaishije na mtu wa aina hii usione dalili na tabia zote hizi mbaya.
Au madawa ya limbwata????????
Mbona kila mtu anashupalia kabila la mwanamke? Kuna popote panapoonyesha au kuthibitisha kuwa mwanamke ni Mchagga? Siku hizi hakuna cha Mchagga au Mmakonde au Mkurya. Wote wanapenda pesa. Jinsi tatizo hili linavyoonekana, huenda wanandoa ni kabila tofauti.Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Akatoa afu alifanyaje
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji123]pamoja sana mkuuHakutoa af hajabu anakaa huko akiona ana shida ananipigia naomba af tatu
Tumuulize Da Mange sababu anamfahamu vizuri sana na alituwekea picha na video akizibuliwa mitar.o mtaani.Safi, huyo mwanamke hakuwa mzuri, pengine alitaka kuuza