Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.

DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Mi yalinikuta kwa hao Wachaga nilibaki kimbaumbau kidogo nidanje, sijui nilitoka vipi ktk lile dimbwi la mauti [emoji849]

Asante sana Mungu kuniokoa [emoji2960]
 
Tunaomba picha zake huyu mdada mtata hadi kwa marehemu, mwenzie kafumba macho jenezani yeye anawaza hela.

Nadhan hata alipokuwa hospital alikuwa anauliza kila mara hajafa??

Ila na sisi wanaume tupo wa ajabu sana, unaishije na mtu wa aina hii usione dalili na tabia zote hizi mbaya.

Au madawa ya limbwata????????
 
Wamevunja na kuingia kuzika mke kakimbia alifunga geti kama ishara ya kuwazuia ..Ina maana wakati ya mazishi mke hakuwepo maana hakutaka azikiwe hapo kwake.
Kwa picha hiyo tu inaonekana Mke kafurahia kifo cha Mumewe.

Nashauri Ndugu wa Mke wafanye juu na chini kuchunguza uhalali wa kifo cha Marehemu.
 
Naskia alikuwa anaenda uchi uchi tena akijiskia. Kuna m ccm anampa kiburi. Nenda mange aalishapost ishu zake anaitwa Janet
Tunaomba picha zake huyu mdada mtata hadi kwa marehemu, mwenzie kafumba macho jenezani yeye anawaza hela.

Nadhan hata alipokuwa hospital alikuwa anauliza kila mara hajafa??

Ila na sisi wanaume tupo wa ajabu sana, unaishije na mtu wa aina hii usione dalili na tabia zote hizi mbaya.

Au madawa ya limbwata????????
 
Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.

DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Mbona kila mtu anashupalia kabila la mwanamke? Kuna popote panapoonyesha au kuthibitisha kuwa mwanamke ni Mchagga? Siku hizi hakuna cha Mchagga au Mmakonde au Mkurya. Wote wanapenda pesa. Jinsi tatizo hili linavyoonekana, huenda wanandoa ni kabila tofauti.
 
Back
Top Bottom