Interlacustrine E
JF-Expert Member
- Jun 3, 2020
- 3,397
- 6,015
Mi yalinikuta kwa hao Wachaga nilibaki kimbaumbau kidogo nidanje, sijui nilitoka vipi ktk lile dimbwi la mauti [emoji849]Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.
DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.
Asante sana Mungu kuniokoa [emoji2960]