Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Nyumba inauzwa tu na mama G tunaishi nae 😀😀😀Ha ha ha....
Tena ntasisitiza nizikwe sitting room nyumba isiuzwe[emoji1787]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyumba inauzwa tu na mama G tunaishi nae 😀😀😀Ha ha ha....
Tena ntasisitiza nizikwe sitting room nyumba isiuzwe[emoji1787]
Sio DOT 4,Mzee baba ile story ya nesi ina ring bells. Huenda muhuni alipigwa DOT 4
Simu zimefanya watu wawe wajinga sana.ndo uji selfie kwa furaha na kutupa mitandaoni, we ni juha na punguani
Halafu mke wala hana wasiwasi sababu anajua kafanya jambo lakeSahii kabisa chief,
Huu mchezo umefanyika kiustadi,
Jamaa kafariki kwa dalili za corona,
Mkuu kingkong hapo juu katoa details zote Hadi picha za hospital kaonyesha jamaa akiuguzwa na mkewe
Ile ya dawa ya jicho ndio inaua upumuaji eeh🤔Sio DOT 4,
Huu Ni mchezo wa matone ya jicho maana jamaa kafariki kwa Changamoto za upumuaji
Falla Sana wewe[emoji38]Nyumba inauzwa tu na mama G tunaishi nae [emoji3][emoji3][emoji3]
Hizo spieces ulizotaja ni bora kwa matumizi tuBado tunasisitiza vijana kuoa wanawake wa saizi zao wataoweza kuwamudu, ndugu zangu tusiangalie Tako, sijui mweupe, sijui pisi Kali, jiangalie na uwezo wako wa kumudu hayo mengine ni ziada, lakini ukiangalia hayo, ukiyumba kidogo tu utachapiwa mpaka ndani kwako, ukijifanya uko bize kumtafutia aishi vizuri Bado utachapiwa, akiona unambana bana ndio kama hivyo anakupiga tukio, hebu waza hapa duniani unapitia mateso, huzuni, msongo wa mawazo, ukifa bado ukutane na bakora(Kwa mujibu wa Muslim), au ziwa la moto (Kwa mujibu was christian) utaponea wapi sasa, yaani ukichimama nchale, ukichuchumaa nchale, ukikaa nchale
Tatizo la mwanamke Ni mihemko,Halafu mke wala hana wasiwasi sababu anajua kafanya jambo lake
nyie ndiyo wahuni mnaomshauri, mila na desturi za alikoolewa hazitaki hivyoHuu ndio uhalisia japo mchungu sana🤣
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Yani kashindwa kufeki hata nukta, ila hawa wanawake wenye kuweka mablichi kichwani ni hewa tuTatizo la mwanamke Ni mihemko,
Kashindwa kuficha makucha yake Hadi kila mtu kajua
Ndio mkuu,I
Ile ya dawa ya jicho ndio inaua upumuaji eeh[emoji848]
na alipopelekwa hospitali ndiyo hali ilizidi kubadilika hadi kifoSahii kabisa chief,
Huu mchezo umefanyika kiustadi,
Jamaa kafariki kwa dalili za corona,
Mkuu King Kong III hapo juu katoa details zote Hadi picha za hospital kaonyesha jamaa akiuguzwa na mkewe
Chenga Sana,[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Yani kashindwa kufeki hata nukta,
Falla Sana wewe[emoji38]
Huyu mwanamke sio mchaga elewa hilo, alitaka kuuza eneo hilo ila janja yake wachaga wakaijua!Hawa ndio wanafanya wanawake wa kichaga waonekane wauaji
Dozi iliendelea maana mtoa dozi ndie muuguzaji mkuu, anamuongezea kdg anavojiskia kuendana na rythm ya doktana alipopelekwa hospitali ndiyo hali ilizidi kubadilika hadi kifo
Yani kuna wadau wamemseti vibaya ila mpambe mkubwa mama mkwe, anashabikia nyumba iuzwe ili ale hela... Wabibi wa kisukuma miyeyusho mno.Chenga Sana,
Hapo Kuna wapambe wameshamkoki,
Anaipigia mahesabu makalu nyumba ya Marehemu Hata hajazikwa
Mbona Ntakuibukia ndotoni[emoji38]Tutamfariji sana mwanetu wala usikonde
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Mbona Ntakuibukia ndotoni[emoji38]
Tamaa za kijinga,Yani kuna wadau wamemseti vibaya ila mpambe mkubwa mama mkwe, anashabikia nyumba iuzwe ili ale hela... Wabibi wa kisukuma miyeyusho mno.