Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,762
- 1,823
Yaa mwanamke alikuw na mahesabu ya mbali sanaaNdio hivyo mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaa mwanamke alikuw na mahesabu ya mbali sanaaNdio hivyo mkuu
Amefeli.Yaa mwanamke alikuw na mahesabu ya mbali sanaa
Mi nitasisitiza nizikwe Bedroom kabisa,ili wife augope kuingiza Mtu chumbani kwangu!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ha ha ha....
Tena ntasisitiza nizikwe sitting room nyumba isiuzwe[emoji1787]
Comment bora😍Kwanza alipoona kuna wosia na ndugu wanakomaa alipaswa aungane nao wazike bila heka heka bila kwenda mahakamani.
Kwa wanaume wakichaga kuwai kufa na kuacha mali ni jambo la kawaida, naisi mali zao nyingi ni za nguvu za kizaKwa picha hiyo tu inaonekana Mke kafurahia kifo cha Mumewe.
Nashauri Ndugu wa Mke wafanye juu na chini kuchunguza uhalali wa kifo cha Marehemu.
Yalibadilika kiuchumi?Hapana inaweza kua sio kweli kama navyo waza , nilishakua na mwanamke wa old moshi nikazaa nae mtoto mmoja ,, mambo yalivyo badirika akasepa ,
Hana ujanja tenaaAmefeli.
Comment yako kama ina uhalisia ndani yake🤦Kwa wanaume wakichaga kuwai kufa na kuacha mali ni jambo la kawaida, naisi mali zao nyingi ni za nguvu za kiza
Mafao yanatokana na mshahara, huyo ni masters holder, mafao yake social security fund anamzidi mtu aliyefanyakazi kwa wahindi miaka 30.Hawezi kua na mafao ya maan kwa umri wake ule miaka 40
Huenda katika watanzania 10 vijana wenye mali, saba au nane ni vijana wakichaga. Kama nipo sahihi basi hata wanaokufa uzeeni wakiwa na mali wengi watakuwa wachaga.Comment yako kama ina uhalisia ndani yake🤦
Kuna familia naifahamu ukiwafanyia hata arobaini ya mume wake hawezi ukiona unazikwa na wewe.
Mbinu nyingine nasikia ni vyakula,, mke anakuwa anakupikia mimafuta, sukari chumvi za kutosha ili upate kisukari, uumwe ufe, hii mbinu ni ngumu sana kuigunduaKuna baadhi ya nyuzi huwa tunaandika wengi wanapuuza kwa uvivu wa kusoma.
ila kiukweli vifo vingi vya wanandoa sio vya asili, Wengi wanauana kisa tamaa ya kurithi mali
Cc: Liverpool VPN one down roger that?Na asingekufa mapema
Mke sio ndugu yako
"Huenda"Huenda katika watanzania 10 vijana wenye mali, saba au nane ni vijana wakichaga. Kama nipo sahihi basi hata wanaokufa uzeeni wakiwa na mali wengi watakuwa wachaga.
Halafu yeye hali anakwambia anafanya diet.😀😀Mbinu nyingine nasikia ni vyakula,, mke anakuwa anakupikia mimafuta, sukari chumvi za kutosha ili upate kisukari, uumwe ufe, hii mbinu ni ngumu sana kuigundua