Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

IMG-20230125-WA0000.jpg
 
Kuna familia naifahamu ukiwafanyia hata arobaini ya mume wake hawezi ukiona unazikwa na wewe.

Nimeshuhudia kwa macho ni mshkaji wetu, alikuwa na mke Mwalimu wa nursery akampa kichapo kilichosababisha kifo chake hospitali, ndugu wa mwanamke walivyokuja msibani waliondoka na nguo na wakasema wazi kama mtoto wetu amekufa kifo cha kawaida sawa, lakini kama wewe ndio umesababisha basi arobaini ya mke wako hautoiona na ndicho kilichotokea jamaa kaondoka yuko fresh tena mtu wa gym wala hakuwa na shida ya afya.

Mpaka leo kuna macomedy humu huwa nawaona wakisema eti hakuna uchawi Mimi huwa nabaki nacheka tu.
 
Kuna baadhi ya nyuzi huwa tunaandika wengi wanapuuza kwa uvivu wa kusoma.

ila kiukweli vifo vingi vya wanandoa sio vya asili, Wengi wanauana kisa tamaa ya kurithi mali
Mbinu nyingine nasikia ni vyakula,, mke anakuwa anakupikia mimafuta, sukari chumvi za kutosha ili upate kisukari, uumwe ufe, hii mbinu ni ngumu sana kuigundua
 
Back
Top Bottom