Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Tunaomba picha zake huyu mdada mtata hadi kwa marehemu, mwenzie kafumba macho jenezani yeye anawaza hela.

Nadhan hata alipokuwa hospital alikuwa anauliza kila mara hajafa??

Ila na sisi wanaume tupo wa ajabu sana, unaishije na mtu wa aina hii usione dalili na tabia zote hizi mbaya.

Au madawa ya limbwata????????
Hao viumbe ukishazaa nao huna ujanja tena mkuu.
maana ukimuacha wakati amekuzalia inabidi mgawane mali pasu kwa pasu

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Mbinu nyingine nasikia ni vyakula,, mke anakuwa anakupikia mimafuta, sukari chumvi za kutosha ili upate kisukari, uumwe ufe, hii mbinu ni ngumu sana kuigundua
Ooh My God. Nimechukia mno kmmk. Miwanawake mingine kwann inakuwa misenge hivo kumanina kabisa.

Mikundu yao[emoji34][emoji34]
 
Enaseketesha sanaaa sijui sukuma la wapi hilo...sjui nyatuzuu
Wanawake wenye roho mbaya wapo tu kila kona siku hizi. Kuna jamaa hukohuko alioa mwanamke kakaa nae miaka kama kumi hivi, jamaa alikua ana hela kinoma kumbe mke wake anatoka na rafiki yake tajiri pia kama tu mmewe ila kipindi hicho mmewe alikua anamzidi. Ikaja tokea jamaa mkopo wa bank ukamshindwa kulipa akafilisiwa mke hata hakukaa wiki wala hakusubiri talaka akahamia kwa huyo rafiki yake mmewe.

After 3 month mwanamke huyo na tumbo kubwa, mimba ya rafiki yake mmewe, bado wapo wote hadi sasa ila Karma itawafanya kitu kibaya sana.

Mmewe alisapotiwa na rafiki zake sshv karudi kwenye chati na ana pesa zaidi hata ya mwanzo.
 
Sasa hapa unamlaumu vipi mwanamke? upo sawa kweli? Yani rafiki yako anamkojolea mkeo halafu unamlaumu mwanamke?

Mimi nitakachokufanya ni Mungu ndio anajuwa wala siwezi kuandika hapa, Mungu haingilii vitu ambavyo alishatupa uwezo binadamu kumalizana navyo.
 
Hujaelewa story ww.

Mwanamke kama hana roho mbaya asingehamia kwa huyo jamaa hata wiki tu haijaisha, na inasemekana mwanamke alichangia kumfilisi mmewe akaenda kuwekeza kwa huyo fala
 
Tuishi nao kwa akili hili neno lina maana kubwa.

Mwanamke ni kiumbe dhaifu na ni kiumbe wa kurubuniwa, likitokea jambo mtu wako wa Karibu amekusaliti lawama hupaswi kumpa mwanamke, huyo rafiki yako ndio anabeba full responsibility na kijeshi kesi ya uhaini adhabu yake ni kifo tu hakuna mbadala.

Ndio sababu kwenye sensa ya Wayahudi wanawake walikuwa hawahesabiwi unadhani ni kwa nini?
 
Back
Top Bottom