Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Bagamoyo: Mwanamke ashindwa kuzika mwili wa mumewe. Mgogoro wasababisha afunge geti marehemu alikopaswa kuzikwa na kutokomea kusikojulikana

Mimi naona mahakimu waliohukumu hiyo kesi wako sahihi.
Kwenye kuhukumu kesi kuna busara pia huwa zinatumika kutokana na mazingira halisi,sio kila hukumu watumie guidance ya makaratasi kama marking scheme italeta hatari ya watu kukosa haki zao au kunufaika mtu asiyestahili na ukizingatia pia kuna wosia wa marehemu umeongeza uzito zaidi.
Kwa mfano kwenye hili sakata wewe kama ndio hakimu unaona dalili zote kabisa kwamba mwanamke hakuwa na mapenzi na mme wake ila amekuja kwa lengo la kuvizia mali tu bado wewe kama hakimu utampa upendeleo wa ushindi mwanamke huyo?
Mtu ambaye unaambiwa hadi amefumaniwa akifanya ufuska na watu wengine kabla mme wake hajafariki.
Walipendana wenyewe, hakimu inamuhusu nini? Afuate sheria tu!
 
Ndoa sio mbaya kitu wanachofeli watu wengi kwenye ndoa ni uchaguzi wa huyo mwenza. Mtu unamkuta kitabia na kifamilia alikotoka ni class D anataka kujichomeka kuoa mwanamke aliezaliwa na kukulia class A.. Hio ndoa haitakaa idumu. ndio maana mataifa ya wenzetu kuna classes huwezi kuivuka kwenda kuoa huko juu ingawaje nao sometimes ndoa hazidumu. Kama wewe ni class D unatakiwa uoe class G Au H huko toka kijijini. sasa siku hizi mtu kapata vipesa kidogo tu kaona Tako anataka ndoa... lazima uliwe hapo .
Mkuu hakuna formula ya kuchagua mwanamke omba Mungu tu akupe bahati yako,mwanamke ni kiumbe tata sana ndugu haijalishi katokea wapi.
 
Please note: NYUMBA YENYE KABURI
1. Huwezi chukulia mkopo bank, kwakuwa bank hawatoweza kuuza nyu.ba yenye kaburi ndani yake

2. Huwezi uza, hakuna anaeweza nunua nyumba ikiwa na kaburi

3. Ni vigumu kumleta mwanamme/ mwanamke mwingine kuja kuishi pale na kuna kaburi la mtangulizi wake

4. Watoto/ Ndugu wa marehemu watakuwa wanatembelea kila watakapo taka kufanya ibada au kumbukumbu ya kumkumbuka mpendwa wao.
 
Inasikitisha kuona ni jinsi gani jamii ya kitanzania ilivyopotoka na yenye roho mbaya. Mbaya zaidi wanawake wote humu wako mstari wa mbele kumkandamiza mwanamke mwenzao. Tuna safari ndefu sana wanawake wa kitanzania maana si kwa manyanyaso haya. Yani watu hawafikirii hata huyo mtoto kwamba atalelewa vipi. Mzigo wote utakuwa kwa mama mjane masikini. Haya mambo ndo yalinifanya nijitafutie zangu mzungu na nchi nikahama kabisa
 
Cha kusikitisha watu hilo hawaoni. Yani sijui wanataka mjane wa watu aishije maskini itabidi tu aanze upya. Wanawake wa kitanzania wanateseka sana na hawana pa kukimbilia
 
Inasikitisha kuona ni jinsi gani jamii ya kitanzania ilivyopotoka na yenye roho mbaya. Mbaya zaidi wanawake wote humu wako mstari wa mbele kumkandamiza mwanamke mwenzao. Tuna safari ndefu sana wanawake wa kitanzania maana si kwa manyanyaso haya. Yani watu hawafikirii hata huyo mtoto kwamba atalelewa vipi. Mzigo wote utakuwa kwa mama mjane masikini. Haya mambo ndo yalinifanya nijitafutie zangu mzungu na nchi nikahama kabisa
Usikurupuke,ushaambiwa huyu mwanamke ana skendo mpaka ilishafika kwa Mange na mume ndo alifumania!! Alijua mkewe ni malaya ndo mana akaacha huo wosia,we unadhani ndugu na jamaa walikuwa hawajui tabia zake? Ndo mana amekaza!!
We hushangai kabla hata ya mazishi mtu anaropoka sijui ntashindwa kuuza nyumba mara sijui ntashindwa kupangisha unaona ni sawa tu? Na ww jibweteke tu huko!! Kwa wazungu hamnaga urithi!! Usipojiongeza utachakaa!! Af me nashangaa mpaka leo mnashoboka na wazungu wkt watu tunapiga na kusepa
 
Umenena shujaa. Msukuma hata ikiwa mkata, Kwake ni New York. Huko Oysterbay atakusikia Atakapokuwa Full chizi.
Ataenda huko kuokota makorokoro yaliyotupwa. Tamaa za fisi kwenye majasho ya wengine ni laana kubwa.
 
Sio kweli nini? Kwamba hata angeenda kuzikwa huko Moshi ni mke wake ambaye angemzika au ndugu??

Will ikisha andikwa na mtu yeyote kabla hajafa ni lazima ifuatwe!
Mfano: Kama ulikuwa unamjua advocate Nyaga Mawala aliacha will kuwa popote atakapo fia azikwe kwenye hiyo nchi, akafia Nairobi Hospital, Kenya!
Wazazi na ndugu waliliamsha kweli kweli, lakini walishindwa na mchakamchaka wa mawakili wengine na watu waliotumiwa waraka huo! Ikabidi azikwe Nairobi!
Kuwa uone mambo kijana!
Duniani kuna mambo meeengi!
 
Marehemu alishaacha wosia azikwe Bagamoyo. Mke ndo amegoma kwa sababu za kibiashara. Mahakama imetoa amri mke ametoroka hajazika mumewe. Na hapo awali mke alishafumaniwa na picha zake zilichafua hali ya hewa kwa mange
Makubwa
Ss huyu kk alikuwa anaumwa nn,na mpk akaaga,alijua km anakufa?
 
Huko Kilimanjaro alikuwa anaenda kuzikwa

Manka kaona fursa ya kupangisha nyumba apate pesa hafikirii kabisa utu, ndio maana wanawake wachaga wanachukiwa kumbe hawasingiziwi.

DeepPond njoo usome huu mkasa ili ututungue story.

Acha chuki za kijinga aliyekuambia huyo mwanamke mchaga nani??

Kwa mantiki hiyo hiyo kwa kuwa huyo mwanamke ni msukuma basi wanawake wa kisukuma ni wa hovyo sana!!
 
Back
Top Bottom