Auz
JF-Expert Member
- Apr 6, 2016
- 13,539
- 11,419
Walipendana wenyewe, hakimu inamuhusu nini? Afuate sheria tu!Mimi naona mahakimu waliohukumu hiyo kesi wako sahihi.
Kwenye kuhukumu kesi kuna busara pia huwa zinatumika kutokana na mazingira halisi,sio kila hukumu watumie guidance ya makaratasi kama marking scheme italeta hatari ya watu kukosa haki zao au kunufaika mtu asiyestahili na ukizingatia pia kuna wosia wa marehemu umeongeza uzito zaidi.
Kwa mfano kwenye hili sakata wewe kama ndio hakimu unaona dalili zote kabisa kwamba mwanamke hakuwa na mapenzi na mme wake ila amekuja kwa lengo la kuvizia mali tu bado wewe kama hakimu utampa upendeleo wa ushindi mwanamke huyo?
Mtu ambaye unaambiwa hadi amefumaniwa akifanya ufuska na watu wengine kabla mme wake hajafariki.