Sio kulitambua tu. Na tamaa za kutajirika kirejereja.Bado tuna safari ndefu, kama watanzania hata bomu hatuwezi litambua.
Imagine humo ndani ya usafiri alioutumia toka Tanga mpaka huko bagamoyo lingelipuka.Daaah kuna watu wanaishi kijima sana.
Picha za mabomu YouTube,Facebook, Instagram na kwingineko ziko nyingi still mtu anasafiri nalo mpaka mkoa mwingine.
Sasa mtoto wa 2000 atafahamu ayo unoyasemaEpukeni kuingia kiholela maeneo yanayotumika katika mazoezi ya kijeshi au maeneo yaliyowahi kufanyiwa operation za kijeshi.
Hakuna uchangamfu hapo. Unless hadithi iwe imepindishwa.Watanganyika mmeanza kuchamgamka sasa uelekeo uwe znz.
KAZI ni kipimo cha utu