Bagamoyo: Watu wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu, mmoja ajeruhiwa

Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la kushtusha lilitokea Agosti 31 na Mlipuko huo unadaiwa kutokea baada ya mmoja wa waathirika kujaribu kukata kipande cha chuma, na kusababisha mlipuko uliokuwa na nguvu kubwa.

Kamanda Morcase amesema mbali na kusababisha vifo na majeraha, mlipuko huo pia umeharibu baadhi ya nyumba zilizokuwa karibu na eneo la tukio, na kusababisha hasara kubwa ya mali na pia imeleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama ili kubaini chanzo kamili cha mlipuko huo.

Kamanda Morcase amesema kuwa taarifa kamili itatolewa hivi karibuni baada ya uchunguzi kukamilika.

Inabidi mambo hayo yafanyika kwenye sehemu za ccm na policcm ili heshima irudi pahala pake.
 
Wabongo tumekuwa Waarab koko siku hizi, yaani hizi kashfa za CCM kuhujumu nchi yetu inawafanya wabongo kujilipua ili waende mbinguni kupata makibra 72?
 
Nakubaliana na wadau hapo kuwa njaa mbaya...kuna jamaa hapa juz tu kakiona cha mtema kuni...alikuwa na sehem ya kuuzia gas...sasa ana tabia ya kujifungia ndan na kupiga nyoka ili ajaze kweny ges nyingine...cha ajabu akawa ameeka simu kweny chaji..ile kuwasha tu..alijikuta nje kwa mlipuko mkubwa...aliungua hadi ngoz ya mwli karibia 70% ilitoka..kijiwe kimefungwa zaid ya mwez sasa..sijajua anaendelaje...kwa kwel tamaa ni mbaya sanaa
Ameshatangulia mpambanaji
 
Natamani mkutano wa mgombea fulani wa urahisi ungekuwa jirani kabisa na eneo la tukio, tena hasa wakati ule anajipiga selfie!
Sijataja jina!.
 
Watu wawili wamefariki papo hapo na mmoja kujeruhiwa vibaya huku nyumba kadhaa zikiharibiwa kufuatia mlipuko mkubwa uliotokea kwenye banda la kuchomelea vyuma chakavu, Mtaa wa Magomeni, Wilaya ya Bagamoyo.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Pwani, Salim Morcase, amethibitisha kuwa tukio hilo la kushtusha lilitokea Agosti 31 na Mlipuko huo unadaiwa kutokea baada ya mmoja wa waathirika kujaribu kukata kipande cha chuma, na kusababisha mlipuko uliokuwa na nguvu kubwa.

Kamanda Morcase amesema mbali na kusababisha vifo na majeraha, mlipuko huo pia umeharibu baadhi ya nyumba zilizokuwa karibu na eneo la tukio, na kusababisha hasara kubwa ya mali na pia imeleta taharuki kwa wakazi wa eneo hilo.

Jeshi la Polisi linaendelea na uchunguzi wa kina kwa kushirikiana na vyombo vingine vya usalama ili kubaini chanzo kamili cha mlipuko huo.

Kamanda Morcase amesema kuwa taarifa kamili itatolewa hivi karibuni baada ya uchunguzi kukamilika.

Tujiandae kwa mengi:

Chui aliyejeruhi watu wanne Mwanza auwawa kwa risasi. Hili ni tukio la kutengeneza?
 
Back
Top Bottom