AhahahaImagine humo ndani ya usafiri alioutumia toka Tanga mpaka huko bagamoyo lingelipuka.
😁😂😁😂😂Kontena la Abdul limeanza kazi
Chums cha mjerumani.. Nilikuwa sijasoma mada vizuriWatu wawili wamefariki dunia na mmoja kujeruhiwa vibaya baada ya kulipukiwa na bomu katika eneo la Sanzale, wilayani Bagamoyo, mkoa wa Pwani.
Taarifa za awali zinaeleza kuwa mtu mmoja, ambaye kwa sasa ndiye majeruhi, alisafiri kutoka mkoani Tanga akiwa amebeba kifaa ambacho hakufahamu kuwa ni bomu, akidhani kuwa ni chuma chenye madini ya thamani.
Akiwa Bagamoyo, aliamua kukipeleka kwa fundi welder kwa lengo la kulikata kwa kutumia mashine aina ya grander. Hata hivyo, wakati wa zoezi hilo kifaa hicho kililipuka ghafla na kuua watu wawili papo hapo huku yeye mwenyewe akijeruhiwa vibaya.
Majina ya wahanga hayajapatikana mara moja, na majeruhi amelazwa katika Hospitali ya Wilaya ya Bagamoyo kwa matibabu zaidi.
Vyombo vya ulinzi na usalama vimefika eneo la tukio kwa uchunguzi zaidi. Aidha, wananchi wametahadharishwa kuepuka kushughulikia vifaa visivyojulikana vinavyoweza kuwa mabomu au vilipuzi na badala yake kutoa taarifa kwa mamlaka husika mara wanapoviona.
Pole sana mkuu, utamaliza muda wako hapa duniani bila kushuhudia hilo likitokea nchi hii kama unavyoomba. Na SSH is to lead......!!!!! Pole sana.Kwahiyo watanganyika wameanza kujiongeza?
Ulivyotaja operation za kijeshi , una weza fikiria unazungumzia marine bwashee 😅Epukeni kuingia kiholela maeneo yanayotumika katika mazoezi ya kijeshi au maeneo yaliyowahi kufanyiwa operation za kijeshi.
Watanzania hatujawahi kuwa serious,kuna eneo moja liliwahi kutumika Kwa operation za kijeshi,wananchi WA hapo wakijiokotea vyuma vyuma wanabeba kwenye mfuko kupeleka Kwa wahusika!!Epukeni kuingia kiholela maeneo yanayotumika katika mazoezi ya kijeshi au maeneo yaliyowahi kufanyiwa operation za kijeshi.
Ghuba wanasema soma hiyoooooo yaani hapo jamaa wanakumbushia ya Goms kipindi kile yaani let us 🙏Kwahiyo watanganyika wameanza kujiongeza?