Bagamoyo: Watu wawili wafariki kwa mlipuko wa bomu, mmoja ajeruhiwa

Huku pangani miaka ya nyuma sana yalikuwa yanamaliza watu ,eti wanasema yalitengwa na mjerumani kumkamata Abushiri...Mengine yalikutwa yameisha nguvu kabisa.
 
Mange alitutahadharisha kuwa kuna mzigo wa chuma chakavu wenye kutia shaka hatukumtilia maanani, ona sasa.
 
Aisee bomu limeuwa raia wema
Ni hasara kubwa sana
Yaani bomu linalipukia raia linamuacha Farao wa misiri anatamba.
 
Chuma Hicho Na Sasa Kinatema Che Che Che
 
Chums cha mjerumani.. Nilikuwa sijasoma mada vizuri
 
Epukeni kuingia kiholela maeneo yanayotumika katika mazoezi ya kijeshi au maeneo yaliyowahi kufanyiwa operation za kijeshi.
Ulivyotaja operation za kijeshi , una weza fikiria unazungumzia marine bwashee πŸ˜…
 
Epukeni kuingia kiholela maeneo yanayotumika katika mazoezi ya kijeshi au maeneo yaliyowahi kufanyiwa operation za kijeshi.
Watanzania hatujawahi kuwa serious,kuna eneo moja liliwahi kutumika Kwa operation za kijeshi,wananchi WA hapo wakijiokotea vyuma vyuma wanabeba kwenye mfuko kupeleka Kwa wahusika!!
 
Sasa huko Tanga hakuna "mawelda" Hadi asafiri na hicho kifaa Hadi Bwagamoyo!?

Hizi karakana za kuchomelea hizi... Au ndio kama kule kwenye maziwa ya Tommy Kimara! RIP
 
Yote haya yamesababishwa na ccm kuwanyima watanganyika kupata elimu ya kutambua viti hatarishi
 
Nakubaliana na wadau hapo kuwa njaa mbaya...kuna jamaa hapa juz tu kakiona cha mtema kuni...alikuwa na sehem ya kuuzia gas...sasa ana tabia ya kujifungia ndan na kupiga nyoka ili ajaze kweny ges nyingine...cha ajabu akawa ameeka simu kweny chaji..ile kuwasha tu..alijikuta nje kwa mlipuko mkubwa...aliungua hadi ngoz ya mwli karibia 70% ilitoka..kijiwe kimefungwa zaid ya mwez sasa..sijajua anaendelaje...kwa kwel tamaa ni mbaya sanaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…