Bagonza: Tanzania ina tatizo la mmomonyoko wa Maadili. Watu wanaheshimu matokeo kuliko mchakato uliotumika kupata matokeo husika

Bagonza: Tanzania ina tatizo la mmomonyoko wa Maadili. Watu wanaheshimu matokeo kuliko mchakato uliotumika kupata matokeo husika

Mmomonyoko unapotokea kwa viongozi wakuu wa mihimili ni hatari zaidi. Hivi katika historia ya maspika kumewahi kutokea spika hovyo kama huyu?
 
Mmomonyoko unapotokea kwa viongozi wakuu wa mihimili ni hatari zaidi. Hivi katika historia ya maspika kumewahi kutokea spika hovyo kama huyu?
Huyu ni speaker aliyeamua kuwa speaker, yaani harumii ubongo wake kabisa yeye anafuata maelekezo ya mkubwa wake.
 
Hicho kikundi ni kipi?Ni akina nani hao unaozungumzia?
Soma bandiko langu vizuri. Hata vile kwa kuwa umeuliza, kikundi hicho ni hao wajumbe wa Kamati ya Maadili ya Kamati Kuu ya Chams Je, mchakato wa uteuzi wao unaujua! Ila kwa kuwa bandiko zako zaonesha ama wewe ni mwanachama/mfuasi au kiongozi wa hicho Chama, rejea kwenye Katiba ya Chama ili ujiridhishe jinsi ambavyo hao wajumbe waliteuliwa

La msingi katika sakata la uteuzi wa wabunge wa viti maalumu, walioapishwa na kuanza kazi kama wabunge, ni uhai wa chama. Ibara ya 2.4 ya Katiba ya CHADEMA (2006), pamoja na mambo mengine, imeandikwa ... Nia ya kuweka taratibu hizi ni kuleta umoja na mshikamano ndani ya Chama na kukitambulisha CHADEMA kama Chama kimoja. Kwa hiyo itifaki ya Chama inajumuisha pia uongozi wa Mabaraza ya Vijana, Wanawake na Wazee ambayo ni sehemu tu ya muundo na uongozi wa chama. Baadhi ya Wabunge wa viti maalumu, walioapishwa, ni viongozi wakuu wa Baraza la Wanawake. Huo mshikamano utakuwepo wakifukuzwa chamani?
 
Muda si mrefu ataibukia chama fulani km mwanachama.
 
Soma bandiko langu vizuri. Hata vile kwa kuwa umeuliza, kikundi hicho ni hao wajumbe wa Kamati ya Maadili ya Kamati Kuu ya Chams Je, mchakato wa uteuzi wao unaujua! Ila kwa kuwa bandiko zako zaonesha ama wewe ni mwanachama/mfuasi au kiongozi wa hicho Chama, rejea kwenye Katiba ya Chama ili ujiridhishe jinsi ambavyo hao wajumbe waliteuliwa....
Unaandika vitu virefu ambavyo sioni point ndani yake.Point yako hasa ni nini?Huwezi kwenda direct kwenye point bila ya kuzunguka?
 
Unaandika vitu virefu ambavyo sioni point ndani yake.Point yako hasa ni nini?Huwezi kwenda direct kwenye point bila ya kuzunguka?
Nilikuwa nakujibu swali lako.

Kwa taarifa yako, kama unaafuatilia mjadala wa sakata la uteuzi wa wabunge wa viti maalumu walioapishwa, ambao baadhi ni viongozi wa ngazi za juu wa Mabaraza ya BAVICHA na BAWACHA, nimechangia kuwa tatizo ni udikteta wa Mbowe, M/kiti wa CHADEMA anakiendesha kama chake kwa kuwa kwa kila hali amejitabainisha kuwa ni mjasiriamali wa kisiasa.

Naamini hao wabunge wa viti maalumu wana baraka zote za Mbowe. Yeye anahitaji fedha ya kukiendesha chama, ambacho kwa kipindi kirefu kimekuwa kikitegemea, kwa kiasi kikubwa, Ruzuku itokanayo na wabunge na michango yao. Kumbuka hata wakati wa kampeni chama kilitembeza bakuri, hivyo basi kifedha kiko hoi.

Kwa Uchaguzi uliomalizika chama kilipata mbunge mmoja ambaye uongozi uliogopa kumzuia ili angalau kupata hiyo Ruzuku kidogo na mchango wake wa 1m/- kila mwezi. Ni kiongozi mwendawazimu tu, kama Mnyika (Katibu Mkuu) kutokuona na kutumia fursa ya chama kupata Ruzuku kwa kuwa na wabunge 19 wa viti maalumu ndani ya bunge.
 
Mmomonyoko unapotokea kwa viongozi wakuu wa mihimili ni hatari zaidi. Hivi katika historia ya maspika kumewahi kutokea spika hovyo kama huyu?
Huyu ndie number one, amelifanya bunge liwekwe mfukoni na serikali halafu anacheka tu muda wote.
 
Nilikuwa nakujibu swali lako.

Kwa taarifa yako, kama unaafuatilia mjadala wa sakata la uteuzi wa wabunge wa viti maalumu walioapishwa, ambao baadhi ni viongozi wa ngazi za juu wa Mabaraza ya BAVICHA na BAWACHA, nimechangia kuwa tatizo ni udikteta wa Mbowe, M/kiti wa CHADEMA anakiendesha kama chake kwa kuwa kwa kila hali amejitabainisha kuwa ni mjasiriamali wa kisiasa....
Unaweza kuthibitisha kuwa Mbowe ni dikteta ndani ya chadema?Kuthibitisha ni muhimu sana kwa sababu mtu anaweza kuamkia kwenye kilabu cha pombe za kienyeji akiwa na hangover zake akaja hapa kuandika kitu chochote anachojisikia kuandika hata kama hakipo ila mradi asukume siku na hangover zake ziishe.

Mimi siyo muumini wa kujadili porojo.Porojo ni kitendo cha mtu kujisikia kuandika kitu chochote hata kama hicho kitu hakipo ila mradi afurahishe nafsi yake na kusumbua watu wengine kisa tu kucomment hapa ni free.Thibitisha madai yako tafadhali au kama ni porojo pia unaweza kudeclare kuwa ni porojo.
 
Yes Kama kiongozi was kanisa amefanya Nini kuhakikisha HAKUNA mmomonyoko was maadili
Maana hyo ndio kazi ya kanisa

Lakini yeye kutwa mitandaoni akijibizana na serikalini na wanasiasa
 
Yaani Heshima na Imani ya watanzania (wenye vyama au wasio na vyama) kwa CHADEMA Inategemea watadili vipi na gonjwa hatari la Covid 19 (viti maalumu 19)
 
Hapa nimekubuka maneno ya Mzee Wassira bungeni pale baadhi ya wabumge walipojaribu kukejeli taarifa ya CAG wakidhani wanatetea serikali yao. Mzee Wassira akawatahadharisha kuwa kuna ofisi za umma ambazo wakizichezea basi wajue hakutakuwa na nchi ya Tanzania.
 
Unaweza kuthibitisha kuwa Mbowe ni dikteta ndani ya chadema?Kuthibitisha ni muhimu sana kwa sababu mtu anaweza kuamkia kwenye kilabu cha pombe za kienyeji akiwa na hangover zake akaja hapa kuandika kitu chochote anachojisikia kuandika hata kama hakipo ila mradi asukume siku na hangover zake ziishe.

Mimi siyo muumini wa kujadili porojo.Porojo ni kitendo cha mtu kujisikia kuandika kitu chochote hata kama hicho kitu hakipo ila mradi afurahishe nafsi yake na kusumbua watu wengine kisa tu kucomment hapa ni free.Thibitisha madai yako tafadhali au kama ni porojo pia unaweza kudeclare kuwa ni porojo.
Mkuu Behaviourist kama kuna wanaJF wanao andika porojo wewe ni wafuasi wa CHADEMA ukiwa wewe ni mmoja wao kutokana na bandiko na mijadala yako yakusifia viongozi wa CHADEMA wakati ule ule ukilalama na kuilaumu Serikali pasipo ushahidi unaodai nitoe, kwa kuwa tu nimemgusa Mbowe. Aibu tupu.

Hata vile ngoje nikutajie baadhi ya matukio ambayo ama yana mkono au uamuzi wa kidikteta wa Mbowe:
√ kufukuzwa kwa Zitto kwenye chama;
√ kupotea kwa Saanane, msaaidizi wake mkuu;
√ uteuzi wa Lowassa kama mgombea Urais;
√ vitendo vya wabunge wa CHADEMA kususia vikao vya bunge na hilo la kujifungia ndani ati korona; na
√ uteuzi wa wabunge wa viti maalumu walioapishwa hivi karibuni.

Kwa kuwa hamna ujasiri wa kumhoji, mbali na kushutumu tabia yake, hata hili sakata la wabunge Mnyika atajikaanga kwa mafuta yake mwenyewe.

MBOWE IS UNTOUCHABLE, period.
 
Unaelewa kuwa katiba ya chadema inasema kuwa ukikipeleka chama mahakamani unakuwa umejifukuza uanachama automatic?Unaelewa kuwa Zitto alikipeleka chama mahakamani ilihali alikuwa analijua hilo?Sasa hapo ni Mbowe alimfukuza Zitto uanachama?Udikteta wa Mbowe hapo katika hili uko wapi?
 
Sawa hilo la Zitto nikubali liwe kama ulivyosema. Tusubiri kama Mnyika atatumia mamlaka yake ya Ukatibu Mkuu kutekeleza aliyowaambia waandishi wa habari.
 
Balaam katika ubora wake. Hivi anatafuta ile hila yake ya kutumia ili kuipata Tanzania baada ya kushindwa kwa aibu kubwa katika sanduku la kura. Hatima ya balaam iko wazi katika Biblia.

Serikali hii iko makini katika masharti ya mikopo, genge lenu na mabeberu halitafanikiwa.
 
Sawa hilo la Zitto nikubali liwe kama ulivyosema. Tusubiri kama Mnyika atatumia mamlaka yake ya Ukatibu Mkuu kutekeleza aliyowaambia waandishi wa habari.
Mnyika aliwaambia waandishi wa habari kuwa atafanya nini/kitu gani?
 
Wanafunzi tunapenda A's badala ya maarifa kichwani! What a tragedy to the nation! Ukipata kazi wazazi wanapenda mafanikio makubwa ndani ya muda mfupi bila kujali kipato cha watoto wao! Immoral people or barbarians!
 
Back
Top Bottom