Bahati Bukuku: Joel Lwaga amekosea sana kufanya wimbo na Diamond Platinumz

Dini ni utapeli, joel lwaga kapigwa hatua kufanya collabo na msanii bora Africa
 
Haishangazi, mbona jane miso alifanya collabo na harmonize remix wimbo wa omoyo?
 
Hujamuelewa...

Hajasema hivyo kwasababu Mond ni muislamu...

Angesema hivyo hata kama Lwanga angeshirikiana na Nandy...

Halafu...

Wewe kunikaribisha Idd el fitri unavunja sheria gani ya dini ndugu?

Punguza choyo.
 
Wewe hujaelewa , hiyo ni mipaka ya kidini , nyimbo za dini na kidunia haziendani ..Choyo kipi , wali wa siku moja ukane dini yako ya miaka yote , mipaka ya kidini ni muhimu sio chuki ila ni kuheshimu imani ya mtu.
 
Ila mnakumbuka:
Alikuja kwa ajili ya wazambi kumbukeni.
 
Bahati yuko sahihi ila Lwaga aloshawah kusema alikua anataman kuimba bongo fleva ikashindikana akasema ajaribu gospel huenda akatoka na kweli akatoka ata ukisikiliza ngoma zake ni inspirational jams hamna gospel mule anajitahid ngoma zake zisikilizwe na watu wote so ni nadra sana kumsikia Yesu kwa ngoma za mwamba
 
Wewe hujaelewa , hiyo ni mipaka ya kidini , nyimbo za dini na kidunia haziendani ..Choyo kipi , wali wa siku moja ukane dini yako ya miaka yote , mipaka ya kidini ni muhimu sio chuki ila ni kuheshimu imani ya mtu.
Ebu tuachane na mambo ya kuelewa tujikite kwenye msosi wa sikukuu...

Wewe kuja kula pilau la pasaka kwangu ni kitendo cha ku appreciate ninachokiamini licha ya wewe kuamini tofauti...

Sioni kama ina uhusiano na kukana dini yako...
 
Apambane na Hali yake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…