Bahati Bukuku: Joel Lwaga amekosea sana kufanya wimbo na Diamond Platinumz

Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku, amekosoa vikali ushirikiano wa kimuziki kati ya waimbaji wa Injili na wasanii wa muziki wa dunia (secular music), kauli inayojiri mara baada ya mwimbaji mwenzake wa nyimbo za dini, Joel Lwaga, kuachia wimbo wa pamoja na msanii nyota wa Bongo Flava, Diamond Platnumz.

Bukuku ameweka wazi msimamo wake nchini Tanzania kuwa kwa mujibu wa imani yake na misingi ya Maandiko Matakatifu ya Biblia, si sahihi kwa mwimbaji wa Injili kufanya kazi na wasanii wa muziki wa dunia.

Elezo lake linasisitiza kuwa mwimbaji wa Injili tayari ni mhubiri wa neno la Mungu, hivyo kulingana na maandiko, hatakiwi kuchangamana na mambo yaliyo nje ya misingi ya kiroho.

Akifafanua zaidi jinsi anavyouchukulia ushirikiano huo, Bukuku alibainisha kuwa ingawa Diamond Platnumz si mtu mbaya wala adui, njia anazopita kulingana na Biblia si za kiroho.

Aliongeza kuwa mwimbaji wa kweli wa dini anapaswa kutanguliza kumtumikia Mungu na kuwajali wanaowahudumia badala ya kuangalia maslahi binafsi, msimamo ambao umeendelea kuzua debate kubwa miongoni mwa wadau wa muziki wa Injili na burudani nchini.

"Ukishakuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili tayari wewe ni mhubiri wa Injili, pia hutakiwi kuchangamana na giza... Unapokuwa mwimbaji wa kiroho inatakiwa usijiangalie wewe, mwangalie MUNGU unayemtumikia na unaowatumikia pia," alisema Bahati Bukuku.

View attachment 3677375
View attachment 3677373
Watu amjaelewa mchezo wanaojaribu kucheza WASANII MACHAWA WA SAMIA ...baada ya kushabikia damu ya maelfu ya watanganyika kumwagwa nchi nzima hao wasanii wameingiwa na hofu maana walihusika kikamilifu kushabikia uchawa na kufanikisha fitina ya damu oct29 na wengi walio uliwa ni wakristo hivyo huyo daimondi anajalibu kutafuta kuwa pumbaza watanganyika kuhusu fitina yao iliyo pelekea umwagwaji wa damu ...
 
Mimi sio extremist ila naongelea mipaka na kuheshimu imani ya watu wengine , kwa mfano : wewe dini sio yako ukaribishwe ili iweje na ile sherehe ni ya kidini ?

Unajua , mimi sio mnafiki kwamba nikuite kwenye jambo ambalo halikuhusu ...Tutaendelea kushirikiana ila sio kwenye mambo ya imani kwani tuko tofauti tayari ..Mbona wewe haukaribishwi kwenye ngoma na mila za makabila mengine , sijakuona mhaya anamualika mchaga kwenye ngoma zake au shughuli za tamaduni yake .

Naongea ukweli si unafiki , nikikukaribisha labda kuna kipi kipya ? kama wali tunakula kila siku hata wewe unakula , siku hiyo waacheni wahusika ...Mfano mwingine; wewe haufungi eti nikuite ule futari wakati futari ni maalumu kwa waliofunga . Mna tabia hiyo ya kujifanya wema ila tunawajuab, hapa Tanga kuna kanisa wanasema kabisa watu wasile kwa waislamu , mtalishwa majini hasa katika maulidi , siwezi kupingana nao kwa vile ni kinyume cha imani yao ..Uislamu ni uwazi, unachanwa makav laiv sio nyie waoga kwa kujifanya wema .

Ukijua mipaka yako utaishi na watu vizuri . kwa hiyo , kama sikukuu yako umepika ngurwe mimi nije kule kwa kusherehekea na wewe kisa ni sikukuu yako. Ukija kama mgeni kwangu utakula ila sikukuu ya kidini hapana siwezi kuingilia imani yako , nina ndugu wakristo wanakula kwangu kipindi wakija likizo ila kwenye sikukuu siwezi kuingilia imani yao , eti niwaite waje kusherehea kivipi yaani ?​
VIONGOZI wa kitaifa wanaohudhria kweny e madhehebu tofauti unamanisha wanafanya unafiki au siasa ,najua unaweza sema kwa kuwa ni VIONGOZI wa watu wote
Lejea ulichokisema na kumaanisha.
Wanahudhuria kimakosa?
 
Elewa ibada na mambo ya kijamii ... Upande wa uongozi ni vitu tofauti .Mimi nije kukualika kwangu uje kula Eid ,wewe unaweka kuja kwa heshima na kukubali ombi ila ni jambo ambalo halikuhusu ni kama nimekufanyia kejeli.

Zaidi ,utakuja kula tu basi kitu ambacho kama ni chakula ni jambi la kawaida kwako ,sio kwamba una njaa .. lakini tujiulize ,lengo la Sikukuu hiyo ni nin? je ,wewe kwa imani yako ni mhusika ? Sikukuu ni inaambatana na ibada maalumu sio kula ,kwa hiyo nikuite ukasali Eid maana ndiyo maana ya sikukuu ,au unataka kula tu 😅😅
 
Kweli mnaweza kupiga nyimbo za shaba ranks kanisani? Au sijakuelewa vizuri?
Hatuwezi kuimba nyibo za Shaba Ranks, ila tunaweza kupiga mziki wake kisha tukaweka nyimbo za uokovu.
 
Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku, amekosoa vikali ushirikiano wa kimuziki kati ya waimbaji wa Injili na wasanii wa muziki wa dunia (secular music), kauli inayojiri mara baada ya mwimbaji mwenzake wa nyimbo za dini, Joel Lwaga, kuachia wimbo wa pamoja na msanii nyota wa Bongo Flava, Diamond Platnumz.

Bukuku ameweka wazi msimamo wake nchini Tanzania kuwa kwa mujibu wa imani yake na misingi ya Maandiko Matakatifu ya Biblia, si sahihi kwa mwimbaji wa Injili kufanya kazi na wasanii wa muziki wa dunia.

Elezo lake linasisitiza kuwa mwimbaji wa Injili tayari ni mhubiri wa neno la Mungu, hivyo kulingana na maandiko, hatakiwi kuchangamana na mambo yaliyo nje ya misingi ya kiroho.

Akifafanua zaidi jinsi anavyouchukulia ushirikiano huo, Bukuku alibainisha kuwa ingawa Diamond Platnumz si mtu mbaya wala adui, njia anazopita kulingana na Biblia si za kiroho.

Aliongeza kuwa mwimbaji wa kweli wa dini anapaswa kutanguliza kumtumikia Mungu na kuwajali wanaowahudumia badala ya kuangalia maslahi binafsi, msimamo ambao umeendelea kuzua debate kubwa miongoni mwa wadau wa muziki wa Injili na burudani nchini.

"Ukishakuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili tayari wewe ni mhubiri wa Injili, pia hutakiwi kuchangamana na giza... Unapokuwa mwimbaji wa kiroho inatakiwa usijiangalie wewe, mwangalie MUNGU unayemtumikia na unaowatumikia pia," alisema Bahati Bukuku.

View attachment 3677375
View attachment 3677373
Tofauti za mitazamo zisituweke mbali. ❤️ Kila mmoja anaamini anachokifanya, lakini mwisho wa siku sisi ni wamoja—tuheshimiane, tupendane na tusigawanywe na muziki. 🙏🤝
 
Muimbaji mkongwe wa nyimbo za Injili nchini, Bahati Bukuku, amekosoa vikali ushirikiano wa kimuziki kati ya waimbaji wa Injili na wasanii wa muziki wa dunia (secular music), kauli inayojiri mara baada ya mwimbaji mwenzake wa nyimbo za dini, Joel Lwaga, kuachia wimbo wa pamoja na msanii nyota wa Bongo Flava, Diamond Platnumz.

Bukuku ameweka wazi msimamo wake nchini Tanzania kuwa kwa mujibu wa imani yake na misingi ya Maandiko Matakatifu ya Biblia, si sahihi kwa mwimbaji wa Injili kufanya kazi na wasanii wa muziki wa dunia.

Elezo lake linasisitiza kuwa mwimbaji wa Injili tayari ni mhubiri wa neno la Mungu, hivyo kulingana na maandiko, hatakiwi kuchangamana na mambo yaliyo nje ya misingi ya kiroho.

Akifafanua zaidi jinsi anavyouchukulia ushirikiano huo, Bukuku alibainisha kuwa ingawa Diamond Platnumz si mtu mbaya wala adui, njia anazopita kulingana na Biblia si za kiroho.

Aliongeza kuwa mwimbaji wa kweli wa dini anapaswa kutanguliza kumtumikia Mungu na kuwajali wanaowahudumia badala ya kuangalia maslahi binafsi, msimamo ambao umeendelea kuzua debate kubwa miongoni mwa wadau wa muziki wa Injili na burudani nchini.

"Ukishakuwa mwimbaji wa nyimbo za Injili tayari wewe ni mhubiri wa Injili, pia hutakiwi kuchangamana na giza... Unapokuwa mwimbaji wa kiroho inatakiwa usijiangalie wewe, mwangalie MUNGU unayemtumikia na unaowatumikia pia," alisema Bahati Bukuku.

View attachment 3677375
View attachment 3677373
Hiyo ni njaa
 
Wewe hujaelewa , hiyo ni mipaka ya kidini , nyimbo za dini na kidunia haziendani ..Choyo kipi , wali wa siku moja ukane dini yako ya miaka yote , mipaka ya kidini ni muhimu sio chuki ila ni kuheshimu imani ya mtu.
Issue sio mipaka ya kidini tunachoangalia ujumbe ulioimbwa
 
Hapana, kila mtu ana dhambi zake, ila km umeamua kuimba enjiri, bas hubiri hiyo, ukiamua kuimba flava bas imba hiyo, usichanganye.
Kwahiyo wewe uangalii ujumbe ila tunaangalia watu wanaoimba huo ujumbe?
 
Back
Top Bottom