Una ushamba wa pilau ? vyakula ni kawaida wala havina maajabu ni vilevile unavyokula kila siku.Ebu tuachane na mambo ya kuelewa tujikite kwenye msosi wa sikukuu...
Wewe kuja kula pilau la pasaka kwangu ni kitendo cha ku appreciate ninachokiamini licha ya wewe kuamini tofauti...
Sioni kama ina uhusiano na kukana dini yako...
Huenda ni kweli nina ushamba wa pilau...Una ushamba wa pilau ? vyakula ni kawaida wala havina maajabu ni vilevile unavyokula kila siku.
Hiyo ni sherehe ya kidini , haikuhusu ..Mimi kwa heshima siwezi kumualika rafiki yangu kwa sababu naheshimu imani yake.Huenda ni kweli nina ushamba wa pilau...
Ila siwezi kuacha kumwalika Ramadhan kwenye pasaka kisa tunaabudu tofauti...
Tukitengana kwenye chakula, nini kingine kitatuunganisha?
Kwa uislam muziki ni dhambi sijui kwa wakristoKwa hyo ,wasanii wanaoimba nyimbo zisizo za dini ktk maandiko wanatenda dhambi ?
Kwa kauli yake amezungumza kama personal attack au kwa wasanii wote
?
Mkuu huenda wewe ni extremist...Hiyo ni sherehe ya kidini , haikuhusu ..Mimi kwa heshima siwezi kumualika rafiki yangu kwa sababu naheshimu imani yake.
Mkuu huenda wewe ni extremist...
Kwa mtu anayejua maisha ya kitanzania(kijamaa)...
Naanzaje kula Idd bila kumkaribisha jirani yangu?
Yaani dini yangu inikataze kushirikiana na jirani na dini hiyo niendelee kuiita dini nzuri?
Kwa wakristo muziki ni ibada, ila sina uhakika kama Yesu aliimba au ilicheza mziki.Kwa uislam muziki ni dhambi sijui kwa wakristo
Nimekubali msimamo wako huku nikiamini kwenye dini kuna wahuni pia...Mimi sio extremist ila naongelea mipaka na kuheshimu imani ya watu wengine , kwa mfano : wewe dini sio yako ukaribishwe ili iweje na ile sherehe ni ya kidini ?
Unajua , mimi sio mnafiki kwamba nikuite kwenye jambo ambalo halikuhusu ...Tutaendelea kushirikiana ila sio kwenye mambo ya imani kwani tuko tofauti tayari ..Mbona wewe haukaribishwi kwenye ngoma na mila za makabila mengine , sijakuona mhaya anamualika mchaga kwenye ngoma zake au shughuli za tamaduni yake .
Naongea ukweli si unafiki , nikikukaribisha labda kuna kipi kipya ? kama wali tunakula kila siku hata wewe unakula , siku hiyo waacheni wahusika ...Mfano mwingine; wewe haufungi eti nikuite ule futari wakati futari ni maalumu kwa waliofunga . Mna tabia hiyo ya kujifanya wema ila tunawajuab, hapa Tanga kuna kanisa wanasema kabisa watu wasile kwa waislamu , mtalishwa majini hasa katika maulidi , siwezi kupingana nao kwa vile ni kinyume cha imani yao ..Uislamu ni uwazi, unachanwa makav laiv sio nyie waoga kwa kujifanya wema .
Ukijua mipaka yako utaishi na watu vizuri . kwa hiyo , kama sikukuu yako umepika ngurwe mimi nije kule kwa kusherehekea na wewe kisa ni sikukuu yako. Ukija kama mgeni kwangu utakula ila sikukuu ya kidini hapana siwezi kuingilia imani yako , nina ndugu wakristo wanakula kwangu kipindi wakija likizo ila kwenye sikukuu siwezi kuingilia imani yao , eti niwaite waje kusherehea kivipi yaani ?
Binti za wengi wamefanya mema Ila huyu mke wanguManeno yawo umeyasikia, maneno yawoo!
Maneno yawo umeyasikia, maneno yawoo!
Bibie Seran umewazidi wote na nakupendanga.
Kweli mnaweza kupiga nyimbo za shaba ranks kanisani? Au sijakuelewa vizuri?Kwa wakristo muziki ni ibada, ila sina uhakika kama Yesu aliimba au ilicheza mziki.
Hakuna sehemu umelazimishwa , katika uislamu hakuna ngoma ,hao ni wahuni😅😅mmeibiwa.Nimekubali msimamo wako huku nikiamini kwenye dini kuna wahuni pia...
Kipindi naishi Tabora, nakumbuka kipindi cha mfungo kulikua na ngoma flani nimesahau jina lake...
Waislamu walikua wanapita nyumba kwa nyumba bila kujali imani ya mtu na walichangiwa pesa, unga n.k...
Na ilikua Iddi ikifika inakua sikukuu ya wote, maana waislamu walitukaribisha majirani zao...
Kwahiyo kwa kitendo hicho walikua wanakosea?
Mnyooshe maelezo Ili aelewekeYuko sahihi Bukuku, sema hapa watu watachukulia personal attacks kwa wahusika.
Lol
Dini unachanganya na Bongo flavour?Mnyooshe maelezo Ili aeleweke