Bahati Bukuku: Joel Lwaga amekosea sana kufanya wimbo na Diamond Platinumz

Hujajibu swali, nawee una uliza swali.
Duuh 😂😂😂
Joel Lwaga na Diamond wameimba wimbo wa inspiration song sio gospel song lazima Hilo ulielewe Kwanza ujumbe unaogusa maisha yetu unaotukumbusha Mungu yupo hawezi kutuacha ni wimbo ambao huchagui uislamu Wala ukristo Wala dini yoyote hauna vifungu vya Biblia Wala Quran so sijajua mantiki ya Bahati Bukuku kupinga ni Nini?
 
Oooh kumbe? Kwahiyo huo wimbo Atheists hauwahusu kabisaa?
 
Wabaguzi namba moko wa dini ni WALOKOLE

Huu uzi unathibitisha hivyo. Pamoja na mapungufu ya Katoliki, Lutheran, Anglikana.... lakini hawapo hivi.

Yesu hakuwabagua wenye dhambi. Alikula nao, aliishi nao, alizungumza nao na hakuwatenga
 
Kwani diamond ndo shetani? Basi pigeni marufuku tusio walokole kusikiliza au kucheza nyingi zenu.
 
Mimi nimeuliza swali ,hoja ya msingi ni ipi
? Wasanii wanaoimba nyimbo za dini wao ni watakatifu directry na Hawa wasanii wa mziki usio wa dini wao ni wadhambi directly.?
Lakini kuhusu bahati bukuku amefanya personal attack kwa diamond pekee au wasanii wote wa nyimbo za dini hawapaswi kuimba nyimbo kwa pamoja na hili kundi linoonekana lenye zambi direct
 
Hata Mimi nashindwa kuelewa kabisa
 
Kitabu cha Wimbo Ulio Bora kwenye Biblia nacho kifutwe maana kinaongela masuala ya kidunia?
 
Kweli.. wasile magimbi yaliyoliwa na watu wasio wa Kiroho
 
Waimbaji wenyewe wa injili ndiyo hawa tunaowaona wanafanya mambo ya ajabu au kutoka sayari nyingine?
 
Ila kama mwanadamu kuna muda
Moyo unauma, nazidiwa
Sa ntamweleza nani kama si wewe?
Yani kama mtu kuna muda mambo
Yananizidia, nazidiwa'.

Sa ntamwambia nani kama si wewe'.....

Ngoma kaliiiii...Tumuabudu tu Mungu hakuna ibada kwenye wimbo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…