Bahati mbaya picha za pono zimeenda kwenye WhatsApp group la ofisi, nafanyaje?

Delete for all
Tomorrow is Monday Kesho nenda bila simu , jifanye ulipoteza cmu
 
Sina picha mbya au za x kwenye simu yangu lakini kamwe siwezi kuziweka kijinga namna hio iwe vyepesi kuonekana na kufikiwa !
Kumbe akili ni nywele kila mtu ana zake.
 
Umeyatimba washakujua ni mtu wa namna gani
 
Delete for all au mcheki Admin afute
 
Kama hujaongea na yeyote na hizo picha hazina sura yako it is easy. Piga kawaida kwa Admn aiondoe number yako kwenye group kwamba WhatsApp iko hacked hivyo unahofu jamaa watapata number za members wengi wanasumbua au kutapeliwa. Then baada ya siku moja anakurudisha unaingia na sorry guys. Ila usimwambie admn mpango wako.
 
Unawatumia na bonus.. za mtoto Lily Starfire ... Sio group linakaa kizembe zembe

C.c mzabzab anasbo
 
Sasa unaogopa nini acha ufala wewe... Tena ukute hao mabosa na watu unaoheshimiana nao wamefurahi sana kupata hizo videos ili wapigie nyeto... Hii dunia wa kumheshimu na kumuogopa ni Mungu tu... Hao wengine ni wapuuzi kama wewe tu ulivyo mpuuzi 🀣 embu kunywa bia
 
Jilize kwa sauti na usingizie chochote kitakachokuijia kichwani mwako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…