Bahati mbaya picha za pono zimeenda kwenye WhatsApp group la ofisi, nafanyaje?

Wakuu kama mnavojua niliharibu wikendi na leo ni Jumatatu. Nimetimba ofisini km kawa. Niliamua kuchill km hakuna kilichotokea kwa maelekezo yenu apa

Wengi hasa wadada wananipiga jicho la pembe. Maana ile mikito niliyoshea ilikuwa si ya kawaida unaweza kuita ni 1st grade.

Hali kiujumla ni kiubaridi, sio mbaya sana lolote linaweza kutokea aisee

Dua zenu wakuu na maneno mazurimazuri ya faraja kwa mja mimi
 
Hamna cha ajabu kimsingi we vunga bhana
 
Kama kwenye group lenyewe hakuna alotia neno wala hakuna admin alokujia juu basi jua wamependa mikito hiyo.
 
Wakuu wahenga walishasema elimu haina mwisho. Nilikuwa katika jitihada binafsi za kujiongezea ujuzi hapa lakini sijajua kimetokea nini.

Nimeshangaa mfululizo wa simu kutoka wa wadau wa kazini wakinishtua nimetuma picha zisizofaa kule.

Sasa kuja kucheki naona ni kweli zimeenda kwa bahati mbaya.

Msaada wakuu kwa aliyewahi kutokewa na hii kitu nawezaje kuuwa hii soo maana kuna watu tunaheshimiana sana.
Unanikumbusha mzee mmoja mtu makubwa mwenye taasisi nyingi tu hapo dsm,alituma sticker ya manzi ananyonya koni kwenye group la kazini.

Aliandika neno moja tu "Aibu aona mimi" akaleft group hadi leo😅🙌
 
Wakuu kama mnavojua niliharibu wikendi na leo ni Jumatatu. Nimetimba ofisini km kawa. Niliamua kuchill km hakuna kilichotokea kwa maelekezo yenu apa

Wengi hasa wadada wananipiga jicho la pembe. Maana ile mikito niliyoshea ilikuwa si ya kawaida unaweza kuita ni 1st grade.

Hali kiujumla ni kiubaridi, sio mbaya sana lolote linaweza kutokea aisee

Dua zenu wakuu na maneno mazurimazuri ya faraja kwa mja mimi
Issue ya porn ni kawaida sana, nimewahi kupost Manzi yuko uchi status, simu ziliingia nyingi nikafuta nikapiga kimya na wote wakasahau
 
Back
Top Bottom