Bahati mbaya picha za pono zimeenda kwenye WhatsApp group la ofisi, nafanyaje?

Japo umejichoresha ila asilimia kubwa huwa wanaziangalia so wataona kawaida
 
Kwani hadi miakaa hii bado watu mnadownload hizo video....??? Angalia online achana nazooo ona sasa
Incognito hata screenshot inagoma
 

Attachments

  • Screenshot_20250119-213619.png
    26.5 KB · Views: 7
Usijibu hizo message kwa simu yako tengeneza kabisa na loss report hio line itupe anza kuwaambia wadau wako simu iliibiwa..., ila kama ushajibu rudi tena upate ushauri...
 
Mmmmh mm nakushauri uache kazi ,yaan uandike baraua sa hiv ya kuacha kazi ndani ya saa 48 ,kesho ukaombe account no ya hazina urudishe mshahara wa mwez mmoja,, alaf uingie kitaa ufanye biashara
 
Sema ni mtoto alikuwa anachezea simu tuu!!
 
1. Kwann uwa mna download? Check online. Clear browser au tumia Private Browser.

2. Group la ofisini weekend mnafanya nini? Mi Group la ofisi 7am to 5pm weekdays tu.

3. Kwakua Group la ofisi sio official means of communication iyo issue ndogo. Kausha kama sio wewe.

4. Kesho nenda kazini.
 
Embu nitumie inbox hizo picha, then nitaona namna bora ya kukushauri.
 
wow johnny sins leo nimeijua ID yako
 
Halafu itakuwa unapiga nyeto
 
Nitumie link ya group nikawatishe nimehack group zima nimeanza na wewe na anayefatia admin na member waliobaki..!!

Hapo wote wataleft mtafungua group jipya
Hahahaha hahahahaha πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ™ŒπŸΎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…