Etugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 6,514
- 15,247
Kumbe nawewe unazijua jamani ππVyovyote utakavyo fanya ila umejivunjia heshima sana,wanasema poteza vyote lakini sio heshima yako
Umeonekana mtu wa hovyo sana,kitendo tu cha kuwa na hizo video ni upumbavu wa hali juu
Kwani umesikia mie nabii au mtumeππKumbe nawewe unazijua jamani ππ
hakika sikutegemea ππΎππΎπKwani umesikia mie nabii au mtumeππ
πππhakika sikutegemea ππΎππΎπ
π π π Ukute ni za BaikokoHizo pornography ni zako au wazungu..?
Nasekaga sana nyanda waneUsiwaze, ziache; ninakuhakikishia hakuna ambaye hajawahi kuangalia porn kwenye group lenu.
π€£π€£π€£π€£Kwenye hizo picha ni wewe umeonekanq unafanya au ni wazungu?
What hurts the most Babie???Umeamua uje unitangaze sio
sikuile nimepost bahati mbaya we unakuja nisema huku.What hurts the most Babie???
Hamna cha ajabu kimsingi we vunga bhanaWakuu kama mnavojua niliharibu wikendi na leo ni Jumatatu. Nimetimba ofisini km kawa. Niliamua kuchill km hakuna kilichotokea kwa maelekezo yenu apa
Wengi hasa wadada wananipiga jicho la pembe. Maana ile mikito niliyoshea ilikuwa si ya kawaida unaweza kuita ni 1st grade.
Hali kiujumla ni kiubaridi, sio mbaya sana lolote linaweza kutokea aisee
Dua zenu wakuu na maneno mazurimazuri ya faraja kwa mja mimi
Pamoja sana kiongoziHamna cha ajabu kimsingi we vunga bhana
Kuna mwamba alisema uvunge kama simu imeibiwaPamoja sana kiongozi
Kama kwenye group lenyewe hakuna alotia neno wala hakuna admin alokujia juu basi jua wamependa mikito hiyo.Wakuu kama mnavojua niliharibu wikendi na leo ni Jumatatu. Nimetimba ofisini km kawa. Niliamua kuchill km hakuna kilichotokea kwa maelekezo yenu apa
Wengi hasa wadada wananipiga jicho la pembe. Maana ile mikito niliyoshea ilikuwa si ya kawaida unaweza kuita ni 1st grade.
Hali kiujumla ni kiubaridi, sio mbaya sana lolote linaweza kutokea aisee
Dua zenu wakuu na maneno mazurimazuri ya faraja kwa mja mimi
Unanikumbusha mzee mmoja mtu makubwa mwenye taasisi nyingi tu hapo dsm,alituma sticker ya manzi ananyonya koni kwenye group la kazini.Wakuu wahenga walishasema elimu haina mwisho. Nilikuwa katika jitihada binafsi za kujiongezea ujuzi hapa lakini sijajua kimetokea nini.
Nimeshangaa mfululizo wa simu kutoka wa wadau wa kazini wakinishtua nimetuma picha zisizofaa kule.
Sasa kuja kucheki naona ni kweli zimeenda kwa bahati mbaya.
Msaada wakuu kwa aliyewahi kutokewa na hii kitu nawezaje kuuwa hii soo maana kuna watu tunaheshimiana sana.
ππππππππππNilikuwa katika jitihada binafsi za kujiongezea ujuzi hapa lakini sijajua kimetokea nini.
Issue ya porn ni kawaida sana, nimewahi kupost Manzi yuko uchi status, simu ziliingia nyingi nikafuta nikapiga kimya na wote wakasahauWakuu kama mnavojua niliharibu wikendi na leo ni Jumatatu. Nimetimba ofisini km kawa. Niliamua kuchill km hakuna kilichotokea kwa maelekezo yenu apa
Wengi hasa wadada wananipiga jicho la pembe. Maana ile mikito niliyoshea ilikuwa si ya kawaida unaweza kuita ni 1st grade.
Hali kiujumla ni kiubaridi, sio mbaya sana lolote linaweza kutokea aisee
Dua zenu wakuu na maneno mazurimazuri ya faraja kwa mja mimi
Ebwana Nimecheka Kama Nimetekenywa !Anyways π€π€ pole sana mkuu ila karibu ujipatie mbwa kwa bei poa.
View attachment 3206804