Bahati mbaya picha za pono zimeenda kwenye WhatsApp group la ofisi, nafanyaje?

Vyovyote utakavyo fanya ila umejivunjia heshima sana,wanasema poteza vyote lakini sio heshima yako

Umeonekana mtu wa hovyo sana,kitendo tu cha kuwa na hizo video ni upumbavu wa hali juu
Unakuta wote kwenye group wanazo, sema hawajfikwa na hiyo kadhia. Hapo jamaa kama kwaongezee mzigo.. watu wameharibika
 
Unadowload hizo picha ili iweje? Angalia online mambo yaishie huko huko, hata wanaodownload zile clip huwa nawashangaa sana!
 
Kila mtu akiwa alone anacheck mavitu ya ovyo mitandaoni ,kwahiyo hakuna ajabu...Ukikosea kutuma kitu wewe Delete tu for Everyone.
 
Unakuta wote kwenye group wanazo, sema hawajfikwa na hiyo kadhia. Hapo jamaa kama kwaongezee mzigo.. watu wameharibika
Ni mtihani sana kwakweli tena unaweza kukuta admin wa group ndio konki wa mambo hayoπŸ˜‚

Na unaweza kuta wanagroup wamependa clip za mwamba,sasa ishu inakuja namna ya kuomba wafowadie
 
Ni mtihani sana kwakweli tena unaweza kukuta admin wa group ndio konki wa mambo hayoπŸ˜‚

Na unaweza kuta wanagroup wamependa clip za mwamba,sasa ishu inakuja namna ya kuomba wafowadie
Hapo ndio kunakuwa na mgongano wa maslahi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hii dunia kuna mtu unaweza fikiri wa heshima, kaa nae kama masaa matatu.. utajiona Cha mtoto
 
Hapo ndio kunakuwa na mgongano wa maslahi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hii dunia kuna mtu unaweza fikiri wa heshima, kaa nae kama masaa matatu.. utajiona Cha mtoto
We acha tu hakika moyo unaficha mengi sana expert wangu,unaweza hisi jamaa ana nasabu na shetani dadeki
 
Baki kimya kabisa kama hujui
 
Unapata wapi muda na ujasiri wa kusave uchafu kwenye simu Yako wewe unajua utaishi milele?
 
Pata uzoefu kwa Engoga
 
Hapo ndio kunakuwa na mgongano wa maslahi πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
Hii dunia kuna mtu unaweza fikiri wa heshima, kaa nae kama masaa matatu.. utajiona Cha mtoto
πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Mkuu pole sana. "Delete for all" halafu uwaombe wadau msamaha. Waambie ni mtoto alikuwa anachezea simu akazituma kwa bahati mbaya. Watoto ndio kimbilio siku zote.
 
Inaonekana hizo picha umeziweka kihasara sana kwenye simu yako. Kwann usizitengenezee folder ukazisokomezea huko, kiasi kwamba mtu hawezi kuzifikia kirahisi?

Sasa hapo tukushauri nini, wakati zimeshaonekana kwenye group?
Mkuu hata ukitengeneza folder, ukifungua my files utazikuta humo kwenye folder ya video. Azifute tu na aombe radhi, hakuna namna.
 
Mi nikajua picha zako ukipeleka moto kama Engonga kumbe picha ambazo za mitandaoni tu. Boss wako mwenyewe anachekigi blue hio haina shida.. Kula buyu tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…