Bahatisha umri wa mwanaJF

Nishazoea kunidanganya tu, hata kule shuleni unanidanganya kila siku ili nisikupe adhabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwa hili hata sikudanganyi, tena kwenye 7 weka na nusu.... Ili upate na miezi niliyonayo
 
Uzi kama huu sio mzuri katika Fikra na Saikolojia za Wanawake.

Hata kumuuliza Mwanamke umri wake sio vizuri asilani.

Ila akipendezwa nafsi yake basi na autaje umri ulio wa kwake.
 
Mmh mkuu wewe si wa 90!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona unajishusha ivyo?? Acha bwana wewe
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]. Mi mdogo usinikuze. Nina miaka 25 mwaka wa saba huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…