Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mzima lakini?
Mimi mzima sana, siku mpya nguvu mpya na akili mpya.
Sijui kwako wewe uzima umekaaje, naona umeshatia saini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Mzima lakini?
Na uhenga huu wote JF, utakuwa 45-55 hauchomoki kabisa hapammmmh
Mie pia niko poa kabisa na namshukuru M'mungu ni mzima wa afya.Mimi mzima sana, siku mpya nguvu mpya na akili mpya.
Sijui kwako wewe uzima umekaaje, naona umeshatia saini
Kwa hili hata sikudanganyi, tena kwenye 7 weka na nusu.... Ili upate na miezi niliyonayoNishazoea kunidanganya tu, hata kule shuleni unanidanganya kila siku ili nisikupe adhabu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Sawa kigagula[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kwa hili hata sikudanganyi, tena kwenye 7 weka na nusu.... Ili upate na miezi niliyonayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nipe heshima yangu!Sawa kigagula[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli mkuu. Mwanamke haulizwi umri na mwanaume haulizwi mshaharaUzi kama huu sio mzuri katika Fikra na Saikolojia za Wanawake.
Hata kumuuliza Mwanamke umri wake sio vizuri asilani.
Oooh! Kumbe bado mbichi kabisa best yanguMimi 21
Mie kibibi gagula mkuu.Oooh! Kumbe bado mbichi kabisa best yangu
Mimi 21
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]. Mi mdogo usinikuze. Nina miaka 25 mwaka wa saba huuMmh mkuu wewe si wa 90!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mbona unajishusha ivyo?? Acha bwana wewe
Aaah! Wapi kigagula gani cha miaka 21? Kigagula ni mimi mwenye miaka 35 +7 na nusu.Mie kibibi gagula mkuu.
Uzi kama huu sio mzuri katika Fikra na Saikolojia za Wanawake.
Hata kumuuliza Mwanamke umri wake sio vizuri asilani.
Ila akipendezwa nafsi yake basi na autaje umri ulio wa kwake.
Hahahahaa... miaka 21 nilikua nayo siku nyingi sanaAaah! Wapi kigagula gani cha miaka 21? Kigagula ni mimi mwenye miaka 35 +7 na nusu.
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]. Mi mdogo usinikuze. Nina miaka 25 mwaka wa saba huu
Ndo wewe mkuu huyo?Vijana bwana.....
![]()