JUA ni Kali Sana
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 1,202
- 1,543
Vipi umeweza kujenga nyumba mkuuWakuu ukiachana na swala.la wanawake kupenda sana hela zetu ila mimi pia nina tatizo binafsi ambalo linanikwaza sana.
Ipo hivi wanaume tumeumbwa kutoa hiyo ni nature japo wanawake walaghai pia wapo lakini wacha nijizungumzie mimi
Aisee mimi ni bahiri vibaya mno sio tu kwa mwanamke mpenda hela yani mpaka mwanamke aisependa hela sana nipo hivo,
Yani mwanamke akiniomba hela tu najiskia mood inakata kabisa.
kama miezi 6 iliyopita nilipata binti mzr sana kuanzia shepu na umbo yani aombi hela ananiambiaga tu kuwa anapenda mwanaume anaejiongeza but mimi sikuwa hi kufanya hivo hela nazompa mara nyingi ni baada ya show ya na mara nyingi kashanimbia anaomba nimnunulie chupi kama zawadi pia sikuwahi kufanya hivo imefika stage yule mdada kapata chamgamoto na akaniomba msaada na sikumsadia bac yule mdada alichoamua ni kumove on na mpaka sasa huwa tunawasiliana japo kanikatia tamaa
Sasa kwa tabia hz nitaweza kupata mke kweli coz hata mahusiano sasa hv nayaona magumu. Na upwiru unakaba koo.
Hii hali imekuwa kero kubwa kwangu nashindwa kuwa kwenye mahusiano sababu ubahiri umezidi viwango aisee ebu kama kuna jambo la kunishauri naombeni mawazo nyinyi wengine mahusiano mnayaendeshaje mbona mimi nimeshindwa nachojua nikutafuna mbususu tu hayo mambo ya kupalilia shamba mimi yamemishinda kabisa