Bahiri kupitiliza

Bahiri kupitiliza

Wakuu ukiachana na swala.la wanawake kupenda sana hela zetu ila mimi pia nina tatizo binafsi ambalo linanikwaza sana.

Ipo hivi wanaume tumeumbwa kutoa hiyo ni nature japo wanawake walaghai pia wapo lakini wacha nijizungumzie mimi

Aisee mimi ni bahiri vibaya mno sio tu kwa mwanamke mpenda hela yani mpaka mwanamke aisependa hela sana nipo hivo,
Yani mwanamke akiniomba hela tu najiskia mood inakata kabisa.

kama miezi 6 iliyopita nilipata binti mzr sana kuanzia shepu na umbo yani aombi hela ananiambiaga tu kuwa anapenda mwanaume anaejiongeza but mimi sikuwa hi kufanya hivo hela nazompa mara nyingi ni baada ya show ya na mara nyingi kashanimbia anaomba nimnunulie chupi kama zawadi pia sikuwahi kufanya hivo imefika stage yule mdada kapata chamgamoto na akaniomba msaada na sikumsadia bac yule mdada alichoamua ni kumove on na mpaka sasa huwa tunawasiliana japo kanikatia tamaa

Sasa kwa tabia hz nitaweza kupata mke kweli coz hata mahusiano sasa hv nayaona magumu. Na upwiru unakaba koo.

Hii hali imekuwa kero kubwa kwangu nashindwa kuwa kwenye mahusiano sababu ubahiri umezidi viwango aisee ebu kama kuna jambo la kunishauri naombeni mawazo nyinyi wengine mahusiano mnayaendeshaje mbona mimi nimeshindwa nachojua nikutafuna mbususu tu hayo mambo ya kupalilia shamba mimi yamemishinda kabisa
Vipi umeweza kujenga nyumba mkuu
 
Kazi ninayo mkuu shida nina malengo mapana kiac kwamba nikiingiza hizi mambo za madem naona wananitoa kwenye focus yangu shida ni upwiru sasa
Timiza malengo kwanza. Sisi wazee wetu wamekaa Manzese enzi hizo wameshindwa kumiliki viwanja wameendekeza qyuma tu .

Kama ni upwiru tafuta mademu wa kitaa wale unawamudu . Dogo kamaliza form 4 dandia huyo
 
Mkuu,
Huenda kipato chako bado hakikutoshi na hakiwezi kutosha ntu wa pili, huo sio ubahili. Ni uwezo mdogo tu, hivyo unajiuliza namna gani unaweza kutoa wakati wewe mwenyewe hujajipata.

Bahili ni yule anacho na kutoa hataki/hawezi kwa namna yoyote ile.

Jitathmini kwanza kama ni ubahili au uwezo mdogo. Ukipata jibu karibu chama cha mabahili Tanzania.
Mkuu kujipata bado halafu nina malengo makubwa mno kiac kwamba mimi mwenyewe naona pesa ainitoshi japo sina kipato kibaya sana kukunja 30k mpaka 60k kwa siku ni kawaida but nahisi malengo niliyonayo ndio yananifanya nione pesa ainitoshi
 
Wewe ni kabila gani mkuu?(samahani kwa swali la namna hiyo)
 
kama miezi 6 iliyopita nilipata binti mzr sana kuanzia shepu na umbo yani aombi hela ananiambiaga tu kuwa anapenda mwanaume anaejiongeza but mimi sikuwa hi kufanya hivo hela nazompa mara nyingi ni baada ya show ya na mara nyingi kashanimbia anaomba nimnunulie chupi kama zawadi pia sikuwahi kufanya hivo imefika stage yule mdada kapata chamgamoto na akaniomba msaada na sikumsadia bac yule mdada alichoamua ni kumove on na mpaka sasa huwa tunawasiliana japo kanikatia tamaa
Nahisi hapa ndo ulipokosea, huyu huenda ni mke. Wadada wengine anakuomba hela na shoo hakupi Melancholic
 
Back
Top Bottom