hata hivyo,Ku-survive kama kijana dar bila ya kumezwa na ufuska uliopo karibu yako kama pua na mdomo inatakiwa iwe sehemu ya SKILL maalum katika resume'.
Adventure kwa mzungu ni kutembea kuona vitu na kujaribu vyakula na weather mpya ila adventure kwa mtu mweusi ili kuzifanikisha sexual fantasies zake kwa kila aina ya mikunjoπ
Huko watu huwa kama wako sodoma na Gomorrahhata hivyo,
mambo hayo hua ni kwa muda tu, itafikia wakati utaona kawaida tu na ni jambo la kupoteza pesa, nguvu na wakati na kwahivyo utaacha na kuachia wengine π
Watakuufukuana mitr wakichoke wataachaAchana nao watu wamechagua maisha yao
kwahiyo upo huko unashuhudia yanayoendelea sodoma na gomora gentleman?πHuko watu huwa kama wako sodoma na Gomorrah
Tena ile sehemu iko tbt,mitaa fulani dah wadada
Wanafukuliw sn mtr gentleman anyway huko kwenu sahv mambo hayo ndy maendeleo+kipaumbele
Kama una kabint kzr zr
Mfundishe,mueleweshe
Akae mbali na duniaa hiyo
Ova
huo uchaguzi au uchafuzi,Achana nao watu wamechagua maisha yao
Niko dunia ya kwanza sahv gentleman πkwahiyo upo huko unashuhudia yanayoendelea sodoma na gomora gentleman?π
Off course ni uchafuzihuo uchaguzi au uchafuzi,
na kama ni uchaguzi, basi haukua huru wala wa haki, right?π
Haswa ukichelewa na akafikia balehe kumtoa ni ngumu snaHuko watu huwa kama wako sodoma na Gomorrah
Tena ile sehemu iko tbt,mitaa fulani dah wadada
Wanafukuliw sn mtr gentleman anyway huko kwenu sahv mambo hayo ndy maendeleo+kipaumbele
Kama una kabint kzr zr
Mfundishe,mueleweshe
Akae mbali na duniaa hiyo
Ova
viongozi wa wananchi ni mwiko kuonekana maeneo hayo getleman kwa mujibu wa sheria πNiko dunia ya kwanza sahv gentleman π
Nawasikitikia tu huko watu wanavyovamia na kuiga tamaduni ambazo hata haziwahusu
Sema siku nkiamka kichwa kibovu ntakupa location uende ukajione..watu wanavyonyanduana π
Ova
Nani kakuambia hao viongozi ndy mstari wa mbele gentlemanviongozi wa wananchi ni mwiko kuonekana maeneo hayo getleman kwa mujibu wa sheria π
Polis wakishapewa chao hawasogeiviongozi wa wananchi ni mwiko kuonekana maeneo hayo getleman kwa mujibu wa sheria π
Aisee inabidi uwwe nmtulivu na mchunguzi laaziima unaingiamo πkuna kipindi nilikuwa najiuliza wanaume wanaoishi dsm wanaweza kupata wake maana ilifika kipindi niliamini kila mwanamke yupo kwenye business. kuna pisi moja nilikuwa naiona maeneo X ya kkoo mida ya usiku, pisi ni nyeupeeee kama mwarabu huwa inauza nyapu, halafu siku nyingine nikakutana nayo mchana ipo ndani ya dela, kama hamjui unaweza usiamini ni muuza nyapu. hiyo experience ilinipa trauma sana.
Seran hujambo
hakika ni lazima kumshirikisha Mungu kwenye hayo mambo.Aisee inabidi uwwe nmtulivu na mchunguzi laaziima unaingiamo π
Kuna nyumba iko tbt mahaliVijana mkisikiaga Dar huwa mnahisi wote tunaishi mtaa mmoja nini? Kuna maeneo hata hatujuhi hayo mambo yanaendelea mjini hapa. Kuna mambo tofauti kabsa....
Sasa uma much know wako ndio utakufanya utumbukie kwenye kila starehe ambazo hata huko mikoani zipo bwerere ni kujua code tu...