Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

Longtime nkmbk nlikuwa kwenye bar moja obay Q-BAR sasa hapo alitinga wazir
Mmoja flower daftari enzi hizo,kavamia anasema hapo kuna makelele na kuna mambo yanafanyika ndy svyo,kuingia tu na mapolisi defender + hizo sura alizokuta ndani šŸ˜„ mpk waheshimiwa nao walikuwepo,mbn aliondk mdg mdg šŸ˜„
Au gentleman we huwa unajifungiaga ndani huzuruli

Ova
Q-Bar ndiyo mara ya kwanza ktk maisha yangu niliona malay* live live wanajiuza tukiwaita Changudoa enzi hizo.
Tumefika tu na gari yetu wakatuvamia kwa vurugu wanaonesha what they got from their mama.
Tulikuwa na rafiki zetu wazungu tulikodi Hiace daladala nzima toka UDASA Club pale UDSM hadi Q-Bar.
Machok* pia walikuja kutuvamia.
Cha kusikitisha mzungu mmoja alivusha mzigo chok0 akaenda kulifukua mtar0 kwake Changanyikeni.
Way back 1999/2000 huko.
 
Back
Top Bottom