Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

hivi ova inamaanish nn ?
Si unajuwa wanapongea kwa kutumia radio call mwisho utaskia ova ova ova 😄
Sasa kuna miaka fulani tulikuwa South afrika
Sasa usku tuko ndani mara tunashanga gari za wazee na wao wamepig ambush
Ndani Sasa kuna mwenzetu mmja ila sahv ni (RIP)Mbongo alikuwa ni mkurya alasema oyaaa mbona nje nasikia watu wanasema ova ova ovaaa
Ova ova
Kuchungulia kumbe wazee
😄
Huwa napenda kumuenzi tu
Alikuwa mtu wa vituko sana
Ukiwa naye huchoki

Ila mwisho kumbe wazee walikosea nyumba wakaja pale tulipokuwepo ila hali ilirudi shwari

Ova
 
nimekuelewa ila nakuwa nakufananisha na pdidy km mna uelekeo wa kufanna kimaandishi
 
Back
Top Bottom