Seran
JF-Expert Member
- Feb 7, 2025
- 36,315
- 104,500
kila mtu ana njia zake, hakuna formula ya haya mambo pia!Leo nlifanikiwa kukutana na mke wa pasta nikiwa kwenye kufanya interview kama sehemu ya research yangu, akaniona na pete hizi za kununua akajua ni ya ndoa! Akaniuliza umeoa kijana nikasema bado, akasema nikajua umeoa maaana nimeona pete, akaendelea kuniambia usije ukaoa mapema enjoy life ukiwa kijana 35 utaoa! Nikamuuliza kwanini,,, akanijibu aliyetangulia usimbishie ubovu wa njia...nikasema ahsante nikaondoka.
kwanini unanunua pete na kujivika?