Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

nyoko kweli 🤣
Fanya niwe mgeni wako, huku kijijini kwetu kuna siku walikuja wageni kutoka daslamu, dogo mmoja akaanza kunionyesha picha za New York city akasema ndivyo palivyo eneo fulani huko daslamu ckumbuki eneo vzr ila nadhani alisema n vingunguti
 

Attachments

  • FB_IMG_1779716254040.jpg
    FB_IMG_1779716254040.jpg
    43.1 KB · Views: 8
Fanya niwe mgeni wako, huku kijijini kwetu kuna siku walikuja wageni kutoka daslamu, dogo mmoja akaanza kunionyesha picha za New York city akasema ndivyo palivyo eneo fulani huko daslamu ckumbuki eneo vzr ila nadhani alisema n vingunguti
khee! mimi nipo tandahimba huku mzee, nilitegemea nikija utanipokea kumbe we naye walewale tu 🤣
 
khee! mimi nipo tandahimba huku mzee, nilitegemea nikija utanipokea kumbe we naye walewale tu 🤣
Tatizo hilo.
Bc tujipange siku Twende hvy hvy, tutalala hata kituo cha polisi.
Tukikutana na maharamia wakituchuna ngozi ndo bc tena, cha msingi tumetimiza haja ya moyo 😎
 
sijambo!

wake wema wapo pia, hapawezi kulaanika kila kona, binafsi na uzee wangu huu sijakutana na hizo mambo! n btw! orgies ni nini?
Leo nlifanikiwa kukutana na mke wa pasta nikiwa kwenye kufanya interview kama sehemu ya research yangu, akaniona na pete hizi za kununua akajua ni ya ndoa! Akaniuliza umeoa kijana nikasema bado, akasema nikajua umeoa maaana nimeona pete, akaendelea kuniambia usije ukaoa mapema enjoy life ukiwa kijana 35 utaoa! Nikamuuliza kwanini,,, akanijibu aliyetangulia usimbishie ubovu wa njia...nikasema ahsante nikaondoka.
 
Back
Top Bottom