Tresor Mandala
JF-Expert Member
- Aug 20, 2010
- 47,397
- 101,204
Hahahaha, Mkuu upoDuh muache balozi apumzike. Alikuwa Jirani yake Tresor Mandala
Hahahaha, Mkuu upoDuh muache balozi apumzike. Alikuwa Jirani yake Tresor Mandala
Huyo mwana mikocheni mwenzangu ila kwa mzeeNipo mkuu. mrangi alikuwa anawataja majirani zako waliotangulia
Huko mbagala chamazi tandika buza ,wanawake wanacheza huku wanajisokomeka chup mkndd aiseUkitembea maeneo ya uswahilini kuna siku unaweza kukutana na watu wako uchi wa mnyama kama ilivyonikuta mimi....
Mimi kuna siku nilikwenda kumtembelea mfanyakazi wangu mmoja hivi mkongwe alikuwa mgonjwa, tunakatisha vichochoro tukakutana na mabinti wanapigiwa Ngoma wanakatika Huku wakivua nguo mchana kweupe, uchi wa mnyama kabisa, kama mwanadamu ikabidi na Mimi nisimame nikodoe macho kidogo na pale palikuwa Hadi na watoto wadogo nao wanashangilia, lile kundi linapita mtaa Kwa mtaa niliambiwa Wana kitu kinaitwa usiku sijui wa nini, It's very dangerous to raise a family there...Binafsi Yale mambo niliyaona Thailand but sio Open kama vile.
Hahahaha Mwaka 2030 naitaka KataHuyo mwana mikocheni mwenzangu ila kwa mzee
Mm longtime nlichagua kuwa mwana kinondoni 😄
Huyo Tresor Mandala inaelekea enzi zake alikuwa hakosi hapo kwa mzee majungu 😄
Ova
Muhimu sana, kumbukizi za wazee wetu,majirani zetuNipo mkuu. mrangi alikuwa anawataja majirani zako waliotangulia
Hatari Sana, Sikuwahi kushuhudia vitu kama vile Open namna Ile, pale niliwaambia mkiweza hameni huu sio mtaa wa Kulea, vibinti vidogo kabisa.Huko mbagala chamazi tandika buza ,wanawake wanacheza huku wanajisokomeka chup mkndd aise
Vibao kata na sahv ishakuw fashion
Aise nkirud huko sitokunywa tena bia za chupa 😄
Ova
Noma sana. Mtu anahisi ukikaa mjini unajua kila sehemu.Nilitaka niandike kama ulivyoandika mkuu. Hawajui mtu unaweza kukaa Dar miaka hata 10 kuna kona hujawahi hata kufika.
sijambo!kuna kipindi nilikuwa najiuliza wanaume wanaoishi dsm wanaweza kupata wake maana ilifika kipindi niliamini kila mwanamke yupo kwenye business. kuna pisi moja nilikuwa naiona maeneo X ya kkoo mida ya usiku, pisi ni nyeupeeee kama mwarabu huwa inauza nyapu, halafu siku nyingine nikakutana nayo mchana ipo ndani ya dela, kama hamjui unaweza usiamini ni muuza nyapu. hiyo experience ilinipa trauma sana.
Seran hujambo
kwanini mkuu?Huko mbagala chamazi tandika buza ,wanawake wanacheza huku wanajisokomeka chup mkndd aise
Vibao kata na sahv ishakuw fashion
Aise nkirud huko sitokunywa tena bia za chupa 😄
Ova
I dont knowsijambo!
wake wema wapo pia, hapawezi kulaanika kila kona, binafsi na uzee wangu huu sijakutana na hizo mambo! n btw! orgies ni nini?
Halafu hapo opposite na business park kuna chimbo moja halina hata bango la kishua hivi bado lipo?Hapo mkocheni unaingilia business ndani ndani 😄
Nlikuwa namzinguaga nyumba yako umejenga barabarani umeziba njiaa ya kutokaaa 😄
Mwamba kawafaid bana
Ova
nyoko kweli 🤣Natamani sana nami siku moja nifike daslamu, nahisi pamechangamka Sana pia natamani nifike koko bichi hua nasikiaga ndipo mvua inapolala hapo.
Dogo huna maana.Natamani sana nami siku moja nifike daslamu, nahisi pamechangamka Sana pia natamani nifike koko bichi hua nasikiaga ndipo mvua inapolala hapo.
Njia ya kuingilia kama unaenda ushindi shuleHalafu hapo opposite na business park kuna chimbo moja halina hata bango la kishua hivi bado
Umepotea bibie ila mimi mpaka sasa 0:0nyoko kweli 🤣