Baikoko, kibao kata, orgies, pool parties, kanga moja. Aisee vijana wa Dar kazi mnayo

Vijana mkisikiaga Dar huwa mnahisi wote tunaishi mtaa mmoja nini? Kuna maeneo hata hatujuhi hayo mambo yanaendelea mjini hapa. Kuna mambo tofauti kabsa....

Sasa uma much know wako ndio utakufanya utumbukie kwenye kila starehe ambazo hata huko mikoani zipo bwerere ni kujua code tu...
Nilitaka niandike kama ulivyoandika mkuu. Hawajui mtu unaweza kukaa Dar miaka hata 10 kuna kona hujawahi hata kufika.
 
Nani kakuambia hao viongozi ndy mstari wa mbele gentleman
Kumbuka nao binadam na wanamagundi 😄
Wee tatizo usiku unalala
Ngj nikirudi nkutafute nkuzurulishe km popo uone usiku kunavyokucha
Hujiulizi kwann dom wkt wa vikao wale mly konki
Huwa wanaenda dom kutega
Dunia hii uwanj wa fujo

Ova
hapana,
sintaweza na haiwezekani gentleman,

siwezi kuacha majukumu muhimu sana na mazito ya kuwatumikia wananchi na kwenda kustarehe kwa gharama zao. Nadhani ni dhambi isiyo na msamaha hata kwa Mungu:pulpTRAVOLTA:
 
sina maoni:KEKLEO:
Longtime nkmbk nlikuwa kwenye bar moja obay Q-BAR sasa hapo alitinga wazir
Mmoja flower daftari enzi hizo,kavamia anasema hapo kuna makelele na kuna mambo yanafanyika ndy svyo,kuingia tu na mapolisi defender + hizo sura alizokuta ndani 😄 mpk waheshimiwa nao walikuwepo,mbn aliondk mdg mdg 😄
Au gentleman we huwa unajifungiaga ndani huzuruli

Ova
 
Kazini
 
Attachments

  • FB_IMG_1779689135925.jpg
    FB_IMG_1779689135925.jpg
    59.1 KB · Views: 15
Longtime nkmbk nlikuwa kwenye bar moja obay Q-BAR sasa hapo alitinga wazir
Mmoja flower daftari enzi hizo,kavamia anasema hapo kuna makelele na kuna mambo yanafanyika ndy svyo,kuingia tu na mapolisi defender + hizo sura alizokuta ndani 😄 mpk waheshimiwa nao walikuwepo,mbn aliondk mdg mdg 😄
Au gentleman we huwa unajifungiaga ndani huzuruli

Ova
Sasa hio code ya jina mbona iko wazi? Mama wa kona hapo Bongoyo afadhali ungesema waziri tu
 
Longtime nkmbk nlikuwa kwenye bar moja obay Q-BAR sasa hapo alitinga wazir
Mmoja flower daftari enzi hizo,kavamia anasema hapo kuna makelele na kuna mambo yanafanyika ndy svyo,kuingia tu na mapolisi defender + hizo sura alizokuta ndani 😄 mpk waheshimiwa nao walikuwepo,mbn aliondk mdg mdg 😄
Au gentleman we huwa unajifungiaga ndani huzuruli

Ova
Gentleman ni huyu bwana guys guys, anaefuga ndevu afanane na mzee Nyerere.

Hawezi kutoka kizembe bila ulinzi, yeye uwanja wake ni jf kuja kusoma upepo.
 
Back
Top Bottom