Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita


Pole na kazi mkuu…Tupe mrejesho utekelezaji wa hivi ulivyolist hapa unaendeleaje?…miradi inakamilika lini..tuma na video clips tuone vijana wanavyohangaika site itatusaidia sana
 
Leteni Tume huru ya Uchaguzi , hakuna anekula barabara akashiba. Msitizunguwe
Tume huru ndiyo lidude gani?ndiyo linaleta hela ya kula? ndiyo linaleta barabara nzuri ili bibi yako na babu yako na mkewako uliyemtelekeza kule kijijini baada ya kumpa mimba itamuwezesha apite kwenda kwenye kituo cha afya akakuletee mtoto? hilo dude ni taamaa zenu tu za madaraka subirini 2050 mtaachiwa na nyie mjaribu
 

Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano ya awamu ya tano​

====
Msimwekee mama wa watu maneno mdomoni. Tusubirie ukweli wa kesi ya ugaidi kwanza.

2016 tuliambiwa madarasa na madawati itabaki historia. Leo Kuna nini Tena mashuleni? Madarasa yamechakaa ghafla?

Wanaojipendekeza kwa mama na uongo wao Tanzania itawaumbua tu.
 
Njema sana
 
Tena bajeti ya mwaka ujao ndio mtashangaa zaidi maana Jumuia ya kimataifa inamuamini mama na confidence kwenye biashara kwa sasa ni kubwa ,pesa inamiminika kama yote..

Mama atafanya wonders Sana.
 
Hao tembo wanaotoka hifadhini na kuvamia makazi ya wananchi bila shaka wanastahili kugeuzwa kitoweo.
Popote Ulipo sema "Mungu mlinde Rais Samia "

Matatizo yetu yatapungua sana
 

Anawezaje haya yote huyu mama?

SGR TZS 10.2T ni Yeye,
SG TZS 6.55T ni Yeye
Madarasa mapya manne kila sekondari nchi nzima,
Madawati 120 kila sekondari nchi nzima
 
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,


_________________
14|10|2021

Rais Samia atakuwa Chato kwenye kuzima Mwenge

Sherehe zitafanyika Uwanja wa Magufuli,

Karibu sana njoo Uungane na Rais wako,


_________________
 
Mwananchi wa kawaida haangalii umeweka bajeti kiasi gani anataka matokeo...akipita barabara ya kimara kibaha akiona mapipa yapo barabarani barabara haikamiliki au mashimo barabara ya kawawa kuanzia magomeni mapipa mkandarasi haonekani au wanaosubiri kukabidhiwa nyumba magomeni kota kila siku inahairishwa huwezi kusema haya.tusisifu kwa kutengeneza mabomu ya baadaye au kushindanisha serikali.kazi inaendelea na sio rahisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…