greenwoods
JF-Expert Member
- Sep 21, 2020
- 2,328
- 3,955
Umeandika mambo mengi ila nikujibu machache kwa uelewa wangu,Hivi wewe, unalipwa kumsaidia Samia au kumuharibia.
Hauwezi kupongeza mambo anayofanya Samia bila kumponda Magufuli.
Propaganda zako/ zenu na wenzako tangu 17/3/21 (ID zenu nyie wote) ni za kitoto sana. Hazimsaidia Samia na serikali yake. You guys need to learn the art public relations, be more sophisticated, more polished, muwe kwenye uhalisia zaidi.
Samia atasimama, ataheshimiwa kwa kazi zake. Sio porojo.
Sio vigumu kupendwa na kukubalika, tengeneza ajira kwa vijana, fanya kilimo kiwe attractive, ondoa kodi za ajabu, vikwazo, urasimu, rushwa.
Waweke watu kwenye nafasi kujali vigezo, taaluma, maadili. Usijali dini, ukabila, wametokea eneo gani, itikadi yao.
Kazi yake itaonekana.
Mnataka Madaraka, ila mnapoteza ushawishi kwa kuwafungulia kesi wapinzani kama kesi ya mbowe, kukandia nakuponda kila wa kitu kilichofanywa na Magufuli, kuweka wakulima na Watanzania kodi zisizo rafiki, vijana kukosa ajira, kutumbua wachapa kazi.
Mnasema kazì iendelee, kazi gani?ni hiyo hiyo mnayoiponda kila siku?
Vizuri mje na slogan mpya kwa kusema kila kitu cha Magu kilikuwa cha kishenzi, sasa ni tunarekebisha nchi na kupindua vyote alivyofanya.
Viva Samia vivaBajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita,
"Hakuna kama Samia "
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote ile hapa duniani iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais Samia Suluhu tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21
Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni TZS 1BL/Km basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizowahi kujengwa tangu tupate Uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima huenda zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu zote basi ni huyu Mama,
Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga Jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano ( A comparative analysis|advantage )
View attachment 1963497
VIVA SAMIA VIVA || VIVA MPANGO VIVA
View attachment 2000487
Umeandika mambo mengi ila nikujibu machache kwa uelewa wangu,
Kuna somo linaitwa "Comparative analysis " hili ni somo,
Lengo la somo hili ni kuwasaidia watu kuelewa tuliko toka tuliko na tunakokwenda,
Watu wanapofanya comparative analysis hawanania ya kumchafua aliyepita ila wanamtumia kama soma la rejea,
Nadhani shida yako hutaki kusikia Rais Samia anafanya zaidi ya wengine
Yaaan nakuunga mkono hawawezii kuxema mema ya mheshimiwa rais samia bila kuponda alichofanya hayati magufuliiiSina hiyo shida, hayo ni maoni yako.
Akifanya vizuri wote kama Watanzania tunanufaika na ajira, biashara, maisha mazuri. Mimi nataka afanikiwe on her own merit. Sio muhimu, uungwana kumponda mtu aliyekupa nafasi.
Shida, tatizo ninaloliona ni kuponda, kila kitu, hii strategy if you think about ni ya kitoto sana.
Wewe ulikuwa sehemu ya huo utawala, umepewa nafasi kubwa na huo utawala. Sasa unaponda vipi vitu ambavyo ulishiriki kuvifanya.
Mnaweza kuonyesha mazuri ya SSH bila kutumia nguvu kubwa kukandia mambo aliyofanya JPM.
2015 nchi tayari ilikuwa imeoza, rushwa, madawa ya kulevya, wizi serikalini mfano Tanesco, maji ilikuwa shida, barabara nyingi zilizengwa chini ya viwango nidhamu ya kazi ilipungua. kila aina uhuni ulishamiri. Yeye (JPM) ameirudisha nchi kwenye mstari.
Of course alikuwa na mapungufu yake, kuna vitu alikosea. Ila kufanya kila kitu alichokifanya kilikuwa cha hovyo ni kukosa weledi.
Yaaan nakuunga mkono hawawezii kuxema mema ya mheshimiwa rais samia bila kuponda alichofanya hayati magufuliii
Sina hiyo shida, hayo ni maoni yako.
Akifanya vizuri wote kama Watanzania tunanufaika na ajira, biashara, maisha mazuri. Mimi nataka afanikiwe on her own merit. Sio muhimu, uungwana kumponda mtu aliyekupa nafasi.
Shida, tatizo ninaloliona ni kuponda, kila kitu, hii strategy if you think about ni ya kitoto sana.
Wewe ulikuwa sehemu ya huo utawala, umepewa nafasi kubwa na huo utawala. Sasa unaponda vipi vitu ambavyo ulishiriki kuvifanya.
Mnaweza kuonyesha mazuri ya SSH bila kutumia nguvu kubwa kukandia mambo aliyofanya JPM.
2015 nchi tayari ilikuwa imeoza, rushwa, ujambazi, madawa ya kulevya, wizi serikalini mfano Tanesco, maji ilikuwa shida, barabara nyingi zilijengwa chini ya viwango nidhamu ya kazi ilipungua. kila aina uhuni ulishamiri.
Yeye (JPM) ameirudisha nchi kwenye mstari.
Of course alikuwa na mapungufu yake, kuna vitu alikosea. Ila kufanya kila kitu alichokifanya kilikuwa cha hovyo ni kukosa weledi.
Wewe ndio hujiamni,Inashangaza sana, ni watu wasiojiamini, au kuamini kazi anazofanya Samia zinaweza kuonekana, kusimama bila kutumia mgongo wa JPM.
Kukandia, kuponda kazi za boss wake, wakati alikuwa sehemu muhimu ya utawala wake ni utoto.
Unaweza kuonesha ni wapi tumeponda?Yaaan nakuunga mkono hawawezii kuxema mema ya mheshimiwa rais samia bila kuponda alichofanya hayati magufuliii
Utateseka sana kama hutakubali kuwa Rais Samia ni zaidi ya woteSina hiyo shida, hayo ni maoni yako.
Akifanya vizuri wote kama Watanzania tunanufaika na ajira, biashara, maisha mazuri. Mimi nataka afanikiwe on her own merit. Sio muhimu, uungwana kumponda mtu aliyekupa nafasi.
Shida, tatizo ninaloliona ni kuponda, kila kitu, hii strategy if you think about ni ya kitoto sana.
Wewe ulikuwa sehemu ya huo utawala, umepewa nafasi kubwa na huo utawala. Sasa unaponda vipi vitu ambavyo ulishiriki kuvifanya.
Mnaweza kuonyesha mazuri ya SSH bila kutumia nguvu kubwa kukandia mambo aliyofanya JPM.
2015 nchi tayari ilikuwa imeoza, rushwa, ujambazi, madawa ya kulevya, wizi serikalini mfano Tanesco, maji ilikuwa shida, barabara nyingi zilijengwa chini ya viwango nidhamu ya kazi ilipungua. kila aina uhuni ulishamiri.
Yeye (JPM) ameirudisha nchi kwenye mstari.
Of course alikuwa na mapungufu yake, kuna vitu alikosea. Ila kufanya kila kitu alichokifanya kilikuwa cha hovyo ni kukosa weledi.
Unakosea, zaidi ya watu millioni 60 wateseke.Utateseka sana kama hutakubali kuwa Rais zaidi ni zaidi ya wote
Zaidi ya Watanzania milioni 60? Madaraka yamekulevya.woga tu,
Huwezi kusema Rais kafanya Y bila kusema X.
Pole Sana ndg yangu, Hii tabia kama ni mbaya basi aliianza Magufuli mwenyewe,
Nenda kasome hotuba zake zote utaona naona alivyokuwa anaulinganisha Utawala wake na ule Wa JK,
hii comparative advantage inafanywa dunia nzima,
Bajeti moja ya barabara,madaraja na viwanja vya ndege ya Rais Samia FY2021|22 inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita,
"Hakuna kama Samia "
Kasi ya Rais Samia katika kuwaletea maendeleo endelevu Watanzani hawa masikini inatetemesha kama wanavyosema, Rais huyu katika kutambua ili nchi yeyote ile hapa duniani iendelee kwa kasi lazima iwe na miundombinu ya barabara iliyo rafiki na madhubuti, Rais Samia Suluhu tayari kwenye bajeti yake ya kwanza yaani FY2021|22 ametoa Tshs 2trilioni kwa ajili ya ujenzi wa barabara na madaraja, bajaeti hii ni sawa na ongezeko la 100% la Bajeti ya serikali iliyopita ambayo ilitenga Tshs 1trilioni FY2020|21
Kama gharama ya kujenga kilometa moja ya" lami" kwa kiwango cha kimataifa ni TZS 1BL/Km basi bajeti hii ya Rais Samia inaweza kujenga jumla ya kilometa mpya 2,000 za lami kwa mwaka huu mmoja wa fedha wa 2021|22 ikiwa ni sawa na 18.3% ya barabara zote km 10,941 zilizowahi kujengwa tangu tupate Uhuru, Nakama mwendo ni huu mpaka kufikia FY2030|31 barabara zote km 33,649 nchi nzima huenda zitakuwa zimejengwa kwa kiwango cha lami,Katika historia ya nchi hii kama kuna mtu anatakiwa kuombewa kwa nguvu zote basi ni huyu Mama,
Hayati Rais Magufuli kwa miaka yake mitano alifanikiwa kujenga Jumla ya km 1,004 hii ni kwamujibu wa National Bureau of Statistics (NBS), Kwa lugha rahisi Bajeti moja ya barabaraba ya Rais Samia inaweza kujenga marambili (X2) ya barabara zote zilizojengwa kwa miaka mitano mfululizo ya Serikali ya awamu ya tano ( A comparative analysis|advantage )
View attachment 1963497
VIVA SAMIA VIVA || VIVA MPANGO VIVA
View attachment 2000487
Twende kwenye mjadala nimeanzisha uzi kuleUmesahau kuweka namba yako ya simu
Hivi wewe, unalipwa kumsaidia Samia au kumuharibia.
Hauwezi kupongeza mambo anayofanya Samia bila kumponda Magufuli.
Propaganda zako/ zenu na wenzako tangu 17/3/21 (ID zenu nyie wote) ni za kitoto sana. Hazimsaidia Samia na serikali yake. You guys need to learn the art public relations, be more sophisticated, more polished, muwe kwenye uhalisia zaidi.
Samia atasimama, ataheshimiwa kwa kazi zake. Sio porojo.
Sio vigumu kupendwa na kukubalika, tengeneza ajira kwa vijana, fanya kilimo kiwe attractive, ondoa kodi za ajabu, vikwazo, urasimu, rushwa.
Waweke watu kwenye nafasi kujali vigezo, taaluma, maadili. Usijali dini, ukabila, wametokea eneo gani, itikadi yao.
Kazi yake itaonekana.
Mnataka Madaraka, ila mnapoteza ushawishi kwa kuwafungulia kesi wapinzani kama kesi ya mbowe, kukandia nakuponda kila wa kitu kilichofanywa na Magufuli, kuweka wakulima na Watanzania kodi zisizo rafiki, vijana kukosa ajira, kutumbua wachapa kazi.
Mnasema kazì iendelee, kazi gani?ni hiyo hiyo mnayoiponda kila siku?
Vizuri mje na slogan mpya kwa kusema kila kitu cha Magu kilikuwa cha kishenzi, sasa ni tunarekebisha nchi na kupindua vyote alivyofanya.
Tume huru ni wewe mwenyeweLeteni Tume huru ya Uchaguzi , hakuna anekula barabara akashiba. Msitizunguwe

Ingekuwa mbali sana trust meTumutoe Magufuli. Utawala wake, hii nchi ingekuwa wapi?
Kivipi?Ingekuwa mbali sana trust me