Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

Safi Sana mama
 
Safi Sana hii
 
Vizuri Sana
 
Basi tumepata rais mzuri Sana kumzidi alitengeza barabara tangua akiwa waziri mpaka Rais.
 
Inatia moyo kusikia habari kama hii. Mama endelea kuupiga mwingi. Prove them wrong those with negative thoughts about you
 
Hii ni hatua kubwa sana, tusonge mbele
 
 
Kaziiendelee kwa kasi weledi huu huu
 
Nasikia Serikali anawasiliana na watoa huduma wa Facebook na Instagram na Whatsapp kuhakikisha wanarudisha hewani hiyo mitandaoooo....[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…