Bajeti moja ya barabara ya Rais Samia inaweza kujenga mara mbili ya barabara zote za lami zilizojengwa kwa miaka mitano iliyopita

the Iron ladies, Mungu awape maisha marefu,
 
the Iron ladies, Mungu awape maisha marefu,
Hiyo ni kwa Upande wa Tanroads ila kwa Tarura bajeti imetoka bil.172 miaka 5 iliyopita hadi bil.800.2 mwaka 2022/2023 yaani ongezeko mara 7 kwa mwaka mmja na miezi wa Mama ..

Samia sio wa level zao 👇

Kumbuka haya ni matunda ya ukusanyaji mzuri wa mapato ya serikali. Na aliyeweka mifumo hii mizuri ya ukusanyaji mapato ni huyo mtangulizi wake. Pamoja na hayo wote tunamuombea Rais wetu na KAZI IENDELEE.
 
Iendelee
 
1. Mtangulizi wangu alikuwa na Power kuliko mimi.
2. Viatu vyake havinitoshi hata kidogo.
3. Kila ananitokea na kunitaka nikamilishe miradi yote aliyoianzisha.
Bibi Tozo huyo..
 
Kumbuka haya ni matunda ya ukusanyaji mzuri wa mapato ya serikali. Na aliyeweka mifumo hii mizuri ya ukusanyaji mapato ni huyo mtangulizi wake. Pamoja na hayo wote tunamuombea Rais wetu na KAZI IENDELEE.
Ukweli Ndo huo
 
Leteni Tume huru ya Uchaguzi , hakuna anekula barabara akashiba. Msitizunguwe
Tume huru unaijua wewe? Una mfano wa nchi unayoijua ina tume.kwanza Tanzanian ndio kuna tume bora dunian .angalia kenya jins wanavocharurana au ndio unataka twende huko.
 
Mungu Mbariki sana Rais wetu
 
Hata zikijengwa barabara za magorofa lakini watu ndio wako maskini hivi basi hizo barabara ni takataka tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…