Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Nadhani tumesikia bajeti mpya ilivyoongeza kodi kwenye magari yaliyotumika nje. Focus kubwa ikiwa kwenye umri wa gari na ukubwa wa engine.

Ila kwa upande wa pili, ni furaha kwa wenye mpango wa kuingiza magari ya umeme.

Excise Duty kwa magari ya umeme (EV) imeondolewa kabisa. (Ila Excise Duty due to Age bado ipo wakuu. Gari isizidi miaka 8. Hii ni environmental penalty so haipingiki)!

Import Duties kwa magari ya umeme imeshushwa kutoka 25% hadi 10%.

Sio kubwa, ila inaonesha kwa ili serikali wamekua wasikivu.

Pia kama unataka kuanzisha biashara ya kufungua vituo vya kuchajia magari, muda ndio huu. Charging equipments zote zimekua exempted kwenye VAT.

Kama haitoshi, VAT pia imeondolewa wakati wa kuingiza vifaa vya kufanya conversion ya magari ya mafuta kwenda gas (CNG) au kua gari ya umeme (EV). Nadhani nzuri pia, itaweza kupunguza gharama za kufanya conversion.

Naiona Tesla Model 3 ya mwaka 2024 kufika 2027.🥹
 
Jambo zuri sana hili, wafanye na solar equipments tax free, technology ya magari ya umeme imekua sana na bei zinaendelea kushuka, mimi naendesha gari ya umeme 100%, maintenance na fuel ni kama bure tuu, nawashauri mnunue magari ya umeme
Kweli. Kwasababu nayo ipo group la clean energy.
 
Nimepiga hesabu, kuna EV vehicle moja ushuru wake kwa sasa ni 23,434.96USD na July ushuru utashuka mpaka 14582.53 USD. Hapa nimekubali kwamba serikali imefanya vizuri kuchochea raia kununua magari ya MHEV na yale ya Plug in ( petrol+plug in). Perfect timing!!!!!
 
Yeah. Mi nimeona Leaf ya 2019 inaweza kutoka Mil 10 hadi Mil 7. Na haya ni makadirio, inaweza kua hadi Mil 6.5 hivi.
 
Nadhani tumesikia bajeti mpya ilivyoongeza kodi kwenye magari yaliyotumika nje. Focus kubwa ikiwa kwenye umri wa gari na ukubwa wa engine.

Ila kwa upande wa pili, ni furaha kwa wenye mpango wa kuingiza magari ya umeme.

Excise Duty kwa magari ya umeme (EV) imeondolewa kabisa. (Ila Excise Duty due to Age bado ipo wakuu. Gari isizidi miaka 8. Hii ni environmental penalty so haipingiki)!

Import Duties kwa magari ya umeme imeshushwa kutoka 25% hadi 10%.

Sio kubwa, ila inaonesha kwa ili serikali wamekua wasikivu.

Pia kama unataka kuanzisha biashara ya kufungua vituo vya kuchajia magari, muda ndio huu. Charging equipments zote zimekua exempted kwenye VAT.

Kama haitoshi, VAT pia imeondolewa wakati wa kuingiza vifaa vya kufanya conversion ya magari ya mafuta kwenda gas (CNG) au kua gari ya umeme (EV). Nadhani nzuri pia, itaweza kupunguza gharama za kufanya conversion.

Naiona Tesla Model 3 ya mwaka 2024 kufika 2027.🥹
Technolojia zote za kisasa ni mtego wa Kiuchumi

Jembe la Mwaka 2000 na Jembe la Mwaka 2026 utashangaa, la 2026 unalipindisha na kulivunja kwa mikono yako.

Kwenye Sola ndio usiseme, stori za sola zinavutua Sana, vifaa vinavyotumia sola stori zake na specs zake zinavutia Sana, ukishafanya Installation ndio utagundua Umepotea, mara utaambiwa shida ni Betty ndoto haitunzi Moto, baadae utaambiwa Sola Panel yako ni nyembamba, utaongeza idadi ya pannels, baadae utaambiwa Shida Mvua, mwanga haitoshi then utaambiwa unajua wewe Sola yako umeilaza Sana😅😅😅
 
Back
Top Bottom