Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

Sio kweli
Fanya research, nusu ya gari la Umeme gharama yake ni Battery, na hakuna bima za kutosha

1781894027065.png
 
Fanya research, nusu ya gari la Umeme gharama yake ni Battery, na hakuna bima za kutosha

View attachment 3611389
Ni kweli in electric car, battery ndio most expensive, lakini all cars zinakuja na 10 year warrant and new tech sasa up to a million kilometer, batteries sasa zinadumu kuliko hata magari
 
Technolojia zote za kisasa ni mtego wa Kiuchumi

Jembe la Mwaka 2000 na Jembe la Mwaka 2026 utashangaa, la 2026 unalipindisha na kulivunja kwa mikono yako.

Kwenye Sola ndio usiseme, stori za sola zinavutua Sana, vifaa vinavyotumia sola stori zake na specs zake zinavutia Sana, ukishafanya Installation ndio utagundua Umepotea, mara utaambiwa shida ni Betty ndoto haitunzi Moto, baadae utaambiwa Sola Panel yako ni nyembamba, utaongeza idadi ya pannels, baadae utaambiwa Shida Mvua, mwanga haitoshi then utaambiwa unajua wewe Sola yako umeilaza Sana😅😅😅
Mchawi wa solar ni betri tu mkuu.
 
Ni kweli in electric car, battery ndio most expensive, lakini all cars zinakuja na 10 year warrant and new tech sasa up to a million kilometer, batteries sasa zinadumu kuliko hata magari
issue ni hata ikiaharibika kidogo huna gari
 
Back
Top Bottom