Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

Tuongee numbers kati ya mafuta na umeme kwa matumizi ya gari, kwa bei ya sasa umeme 1 kWh 240 na petrol around 4100, kwa gari kama BYD seagul Ina battery capacity kama 60kWh na range ya almost 400KM, tunaona kwa umeme full charge ni 60kWh x 240 = 14,400 shillings, kwa hiyo kwa unaweza kuendesha approximately 400 KM kwa 15,000Tshs, compare na gari yako ya mafuta utapata jibu
 
Unaandika kama biashara ya matikiti, gari la umeme kama ahalitumii mafuta, likizima njiani ndio basi tena
 
Marekebisho kidogo. 1 kWh ni Tsh 358/=

Ni kweli ulichosema, mostly EV gharama yake inaenda kama 1/3 hivi ya highly efficient petrol car.

Hapo bado no oil change, no ATF, fewer moving parts = less maintenance.

EV ni future. Battery bado zina safari ndefu za kua best lakini zilipofika sio mbaya.

The biggest innovation inayokuja ni solid state battery. Hii ndio itabadirisha kabisa uelekeo wa EV industry.
 
Charging stations zinakuja na zitakuwa nyingi kuliko petrol stations kwa sababu Zina gharama ndogo na serikali imeondoa kodi ,kiuhalisia umeme uko sehemu nyingi kuliko mafuta, polepole tutafika na unaweza charge nyumbani ukiweza
 
Sasa hivi kucheza na fursa, ya hizo gari kuwepo
Target ya Serikali ya samia, sio kuchochea uagizwaji wa magari ya umeme, target yao ni KODI KUBWA INAPATIKANA WAPI!

WANAJUA HUKO KWENYE USED NDIPO PESA ILIKO! SO WANAKAZIA HAPO! ILI WAPATE KODI...

Wajanja sasa hivi hawataagiza gari kama fuso/canter USED...NI KUNUNUA KWA MTU, UNACHANGE SPEA MOJA BAADA YA NYINGINE,UNAPATA FUSO/CANTER MPYA! Kwa bei ya jioni!
 
Marekebisho kidogo. 1 kWh ni Tsh 358/=

Ni kweli ulichosema, mostly EV gharama yake inaenda kama 1/3 hivi ya highly efficient petrol car.

Hapo bado no oil change, no ATF, fewer moving parts = less maintenance.

EV ni future. Battery bado zina safari ndefu za kua best lakini zilipofika sio mbaya.

The biggest innovation inayokuja ni solid state battery. Hii ndio itabadirisha kabisa uelekeo wa EV industry.
Angalia new sodium batteries za CATL tayari zipo in production, very cheap,high density,durable and reliable, I’m sure zinaenda kumaliza kabisa magari yanayotumia mafuta
 
Magari ya EV yanataka ecosystem sio sera pekee
Watalia wengi we subiri, maana watakaoweza kuyamudu ni wachache sana huu ndio ukweli. Inatakiwa kujipanga haswa kwa maana hatuna miundo mbinu ya kutosha kumudu EV hata 30%. Gasoline cars will stay there forever.
Mziki wa battery tu si mchezo, ukizingatia 2nd hand zitakuwa nyingi than brand new, fikiria 2nd hand ina maisha kiasi gani mikononi mwako.
 
Kweli ICE sio za kupotea leo au kesho, ila namba za EV zinazotengenezwa recently ni kubwa kuliko purely ICE. Wabishi wa ICE (mfano Japanese) wamejikita zaidi kwenye hybrids.

Battery za EV ni expensive. Zinachukua 60% ya gharama ya gari. Kweli ikiharibika inakua kisanga. Lakini kuharibika/kuishiwa nguvu sio rahisi hivi.

Mchawi mkuu ni charging infrastructures. EV kama hauchajii nyumbani (L1 au L2) haina maana kuimiliki. Bora PHEV.

Mi ninavyoamini ni transition. Haitachukua siku mbili au tatu. Ila ndani ya miaka 4 ijayo (by 2030) idadi ya EV na charging stations zitakua za kutosha hapa Bongo.
 
Sawa, wewe speculations zako unaona mwitikio utakuwa mkubwa considering all those you states?
 
Hayatokuwa juu muda wote kaka... Kuna kipindi nilimiss harufu la diesel barabarani, nilipita njia ya malori mengi niisikie toka kwa HOwO na Scania 🤣🤣
Labda Dangote akileta refinery hapo Tanga. Tuuziwe Lita 1 Tsh 65 kama Libya.
 
Sawa, wewe speculations zako unaona mwitikio utakuwa mkubwa considering all those you states?
Unajua bado tuna uwoga. Na uwoga ndio akili. Ni rahisi kuiamini engine ya 1NZ leo 2026 kwasababu tumeiona ipo kwenye Corolla tokea 2002 na bado iyo gari ipo barabarani leo, ikiwa na 200,000 KM, original gearbox, original engine.

Tatizo BYD mfano, kaja juzi tu. Kupata used ya 2020 tu ambayo hadi leo ni chini ya miaka 10 ngumu kuiona.

Kwahiyo wengi tunaogopa kununua EV tunaogopa kua watu wa mfano. Tunasubiri iaminike kwamba ni reliable, efficient na trustworthy ndio tuingie.

Nikiwa na pesa mimi sitaogopa. Nilikua nanunua Nissan Leaf 2018 mwaka jana. Sema process ya kuomba exemption ya ushuru imanikatisha tamaa nikaogopa nisijelileta likanishinda ushuru. Nikaishia hybrid.

Ila pesa ikikaa haina muelekeo, Tesla Model 3 2023/24 LR bila kinyongo.
 
Kweli ICE sio za kupotea leo au kesho, ila namba za EV zinazotengenezwa recently ni kubwa kuliko purely ICE. Wabishi wa ICE (mfano Japanese) wamejikita zaidi kwenye hybrids.

Battery za EV ni expensive. Zinachukua 60% ya gharama ya gari. Kweli ikiharibika inakua kisanga. Lakini kuharibika/kuishiwa nguvu sio rahisi hivi.

Mchawi mkuu ni charging infrastructures. EV kama hauchajii nyumbani (L1 au L2) haina maana kuimiliki. Bora PHEV.

Mi ninavyoamini ni transition. Haitachukua siku mbili au tatu. Ila ndani ya miaka 4 ijayo (by 2030) idadi ya EV na charging stations zitakua za kutosha hapa Bongo.
Maccm yanawzoom kwa mbali muwe wengi na hayo maEV yenu halafu tuwachape kodi moja isiyoeleweka hamtaamini mtatamani mrudi kwenye mafuta
 
Back
Top Bottom