AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
watafute hela kwanza, ile sio ligi yao hahaha!Pisi Ile lzm mfuko utoboke, Ijumaa mchana apate biriyani, Jioni umtoe out, bado Mambo madogo Madogo vocha,brutal
biriyani watoto wa udsm hapo, yule kidogo kakuonea huruma atataka mandi alafu sehemu anayokuchagulia umepelea lazima ukapasuke 😅😅 kuna manzi wao wameisha jiweka wapo kupasua mifuko ya watu