Bajeti mpya itawaumiza watakao agiza magari ya engine (ICE) ila imewapendelea watakao agiza magari ya umeme (EV)

Technolojia zote za kisasa ni mtego wa Kiuchumi

Jembe la Mwaka 2000 na Jembe la Mwaka 2026 utashangaa, la 2026 unalipindisha na kulivunja kwa mikono yako.

Kwenye Sola ndio usiseme, stori za sola zinavutua Sana, vifaa vinavyotumia sola stori zake na specs zake zinavutia Sana, ukishafanya Installation ndio utagundua Umepotea, mara utaambiwa shida ni Betty ndoto haitunzi Moto, baadae utaambiwa Sola Panel yako ni nyembamba, utaongeza idadi ya pannels, baadae utaambiwa Shida Mvua, mwanga haitoshi then utaambiwa unajua wewe Sola yako umeilaza Sana😅😅😅
Mkuu kuna vitu kama vi3 hivi, hili la bidhaa kupungua ubora sikupingi, jembe ubora umeshuka, unajua sababu ni nini..
Mie naamini kuongezeka kwa watu na uwepo wa material husika..
Mfano sie tunakuwa nyumbani kulikuwa na mandoo fulani hivi ya bati/chuma aisee zile ndoo zilikuwa zinadumu ni kama aluminium fulani hivi, sasa jiulize kwa watu wa sasa itahitajikq aluminum kiasi gani kutengeneza ile ndoo, ukitaka kitu quality lazima ugharamikie zaidi
Sasa hivi bati, nondo etc, ubora wake mdogo, naona wanatengeneza kwa ubora mdogo ili "TUPATE SOTE" wenye pesa wachache ndio watapata vya quality kubwa

Kuhusu solar, mie naiunga mkono,
Solar ni muhimu na bora, shida inakuja kwenye vifaa ukipata vifaa vizuri unasahau kabisa, lakini ni bora uwe na betri ya LITHIUM kuliko hizi za kawaida.. haya ya kawaida ya sundar umedumu nayo muda mrefu saaana ni miaka mi5 hivi, na ila hata ukitoboa miaka mi5 bado hakuna tabu..
Nilikuwa na kioo cha watts 200 kisha nina betri la N150 aisee, taa za nyumba nzima nawasha, tv ya solar inch 32 naangalia bila tabu, nachaji simu na mchana ule nawasha friji la solar.. ikiingia jioni natizama tv hata mpaka saa 6 ama saa 7 mara nyingi ilikuwa saa 5 kipindi kile cha filamu ya ertugrul bey, ikiisha nazima tv, hapo taa zinawaka nyumba nzima mpaka kuchee.
Nilikuwa naepuka matumizi ya inverter nilinunua haya ma inverter ya 35 elfu aisee, inanyonya betri vibaya sana na inaua betri pia
 
Jambo zuri sana hili, wafanye na solar equipments tax free, technology ya magari ya umeme imekua sana na bei zinaendelea kushuka, mimi naendesha gari ya umeme 100%, maintenance na fuel ni kama bure tuu, nawashauri mnunue magari ya umeme
Chief ni gari gani hilo, unatumia umeme wa kiasi gani kujaza full na unatembelea km ngapi?
 
Nimesikia chinese BYD wana magari mazuri durable kuliko Toyota for less than 10,000 dollars lakini mpaka Dar probably double, lakini hii taxes zilizofutwa zitasaidia sana
Huenda wakapunguza,
Pale kwenye makao makuu yao njia ya airport..
Byd dolphin walikuwa wanauza milioni 67+ hivi labda baada ya haya makato watashusha, lakini nimejiuliza hilo swali kama walilipia wakati wanaziingiza watashushaje, labda watakazo leta tena ama watupunguzie mradi wauze tu
 
Mkuu kuna vitu kama vi3 hivi, hili la bidhaa kupungua ubora sikupingi, jembe ubora umeshuka, unajua sababu ni nini..
Mie naamini kuongezeka kwa watu na uwepo wa material husika..
Mfano sie tunakuwa nyumbani kulikuwa na mandoo fulani hivi ya bati/chuma aisee zile ndoo zilikuwa zinadumu ni kama aluminium fulani hivi, sasa jiulize kwa watu wa sasa itahitajikq aluminum kiasi gani kutengeneza ile ndoo, ukitaka kitu quality lazima ugharamikie zaidi
Sasa hivi bati, nondo etc, ubora wake mdogo, naona wanatengeneza kwa ubora mdogo ili "TUPATE SOTE" wenye pesa wachache ndio watapata vya quality kubwa

Kuhusu solar, mie naiunga mkono,
Solar ni muhimu na bora, shida inakuja kwenye vifaa ukipata vifaa vizuri unasahau kabisa, lakini ni bora uwe na betri ya LITHIUM kuliko hizi za kawaida.. haya ya kawaida ya sundar umedumu nayo muda mrefu saaana ni miaka mi5 hivi, na ila hata ukitoboa miaka mi5 bado hakuna tabu..
Nilikuwa na kioo cha watts 200 kisha nina betri la N150 aisee, taa za nyumba nzima nawasha, tv ya solar inch 32 naangalia bila tabu, nachaji simu na mchana ule nawasha friji la solar.. ikiingia jioni natizama tv hata mpaka saa 6 ama saa 7 mara nyingi ilikuwa saa 5 kipindi kile cha filamu ya ertugrul bey, ikiisha nazima tv, hapo taa zinawaka nyumba nzima mpaka kuchee.
Nilikuwa naepuka matumizi ya inverter nilinunua haya ma inverter ya 35 elfu aisee, inanyonya betri vibaya sana na inaua betri pia
Asante kwa maelezo ya kutosheleza na uzoefu wako pia
 
hahaha! na wao wapambane kwa wanavyo lalamika, pisi kama ile hawana uwezo wa kuhudumia wala kuivua chupi, demand pale ni kubwa kuliko supply
Pisi Ile lzm mfuko utoboke, Ijumaa mchana apate biriyani, Jioni umtoe out, bado Mambo madogo Madogo vocha,brutal
 
Back
Top Bottom