Technolojia zote za kisasa ni mtego wa Kiuchumi
Jembe la Mwaka 2000 na Jembe la Mwaka 2026 utashangaa, la 2026 unalipindisha na kulivunja kwa mikono yako.
Kwenye Sola ndio usiseme, stori za sola zinavutua Sana, vifaa vinavyotumia sola stori zake na specs zake zinavutia Sana, ukishafanya Installation ndio utagundua Umepotea, mara utaambiwa shida ni Betty ndoto haitunzi Moto, baadae utaambiwa Sola Panel yako ni nyembamba, utaongeza idadi ya pannels, baadae utaambiwa Shida Mvua, mwanga haitoshi then utaambiwa unajua wewe Sola yako umeilaza Sana😅😅😅