tujiandae kukusanya hela za ufundiMi naamini zitakuja. Ngoja tuone tar 1 July updates za kikokotoo cha ushuru.
mie nimeanza famya low level programing ku upgrade mifumo pamoja na modificationNgoja nirudi VETA
Gari za umeme hazihitaji maintenance or services kama za mafuta, hazina engine wala transmission, ni motor na battery tuutujiandae kukusanya hela za ufundi
Kweli. Kwasababu nayo ipo group la clean energy.Jambo zuri sana hili, wafanye na solar equipments tax free, technology ya magari ya umeme imekua sana na bei zinaendelea kushuka, mimi naendesha gari ya umeme 100%, maintenance na fuel ni kama bure tuu, nawashauri mnunue magari ya umeme
electonics system ina network yake pia na ndivyo vimenza dukuliwa ( hacking )Gari za umeme hazihitaji maintenance or services kama za mafuta, hazina engine wala transmission, ni motor na battery tuu
kabisa law of demand and supply.Mafuta yakiwa mengi hawana pa kuyapeleka. Watauza Buku 2.
Yeah. Mi nimeona Leaf ya 2019 inaweza kutoka Mil 10 hadi Mil 7. Na haya ni makadirio, inaweza kua hadi Mil 6.5 hivi.Nimepiga hesabu, kuna EV vehicle moja ushuru wake kwa sasa ni 23,434.96USD na July ushuru utashuka mpaka 14582.53 USD. Hapa nimekubali kwamba serikali imefanya vizuri kuchochea raia kununua magari ya MHEV na yale ya Plug in ( petrol+plug in). Perfect timing!!!!!
Nunua direct from chinaTulitaka kuweka solar, ila initial cost zilitushinda.
Technolojia zote za kisasa ni mtego wa KiuchumiNadhani tumesikia bajeti mpya ilivyoongeza kodi kwenye magari yaliyotumika nje. Focus kubwa ikiwa kwenye umri wa gari na ukubwa wa engine.
Ila kwa upande wa pili, ni furaha kwa wenye mpango wa kuingiza magari ya umeme.
Excise Duty kwa magari ya umeme (EV) imeondolewa kabisa. (Ila Excise Duty due to Age bado ipo wakuu. Gari isizidi miaka 8. Hii ni environmental penalty so haipingiki)!
Import Duties kwa magari ya umeme imeshushwa kutoka 25% hadi 10%.
Sio kubwa, ila inaonesha kwa ili serikali wamekua wasikivu.
Pia kama unataka kuanzisha biashara ya kufungua vituo vya kuchajia magari, muda ndio huu. Charging equipments zote zimekua exempted kwenye VAT.
Kama haitoshi, VAT pia imeondolewa wakati wa kuingiza vifaa vya kufanya conversion ya magari ya mafuta kwenda gas (CNG) au kua gari ya umeme (EV). Nadhani nzuri pia, itaweza kupunguza gharama za kufanya conversion.
Naiona Tesla Model 3 ya mwaka 2024 kufika 2027.🥹