Bajeti ya Kenya ni Tsh. Trilioni 78, Tanzania ni Tsh. Trilioni 34 na Uganda Tsh. Trilioni 30

Wakenya wanatuzidi utapeli na huku Sisi tumezubaa..

Mfano asilimia 80 ya watalii wetu wanapitia Kenya...

Tungekuwa wajanja tungeifanya KIA kuwa the biggest Transit Airport in Africa...
Ingesaidia mno watalii wanakuja wanatua kwanza KIA halafu ndo wanaamua kwenda Kenya au Dar au Zanzibar...

Hili kufanyika linahitaji brains sio blah blah
Mkuu The Boss kuna thread moja uliwahi kuchangia namna ambavyo utalii unaweza kuinua uchumi wa tanzania endapo tukiwa serious kwenye kuwekeza miundombinu ya kuwavutia watalii na kuongeza idadi yao walau mara 5 tu kwa idadi iliyopo sasa. Kwa maoni yangu,ununuzi wa ndege,hili lilikuwa moja ya lengo kuu pamoja na kurahisisha usafiri wa moja kwa moja bila kupitia kwa majirani.
 
Tuangalie mapato ya serikali ya Kenya na Tanzania kwa mwezi ni dola ngapi ndipo tutajua kwa nini bajeti ya Kenya ni mara mbili zaidi ya hii ya Tanzania.

Kwa muda mrefu sasa Tanzania imekuwa na tabia ya kuchakachua takwimu ili kuonyesha kwamba serikali imekuwa ikikusanya mapato mengi kwa mwezi wakati sio kweli.
 
Mkuu The Boss Hakuna Kitu Kama Hicho.
- Ufanye KIA the Biggest Transit in Africa, Na Kisha Ndege KLM, KQ, Ethiopian Airways, Emirates, Qatar, Etc. Zisiende NBO na Pax Wake? NO.
Kila Nchi ina Bilateral Commercial Trafic Agreement Treaty Zao.
 
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.

Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.
Ok wanasifiwa sawa lkn si kuna ukwel? Kwann upinge na msema kweri ni mpenz wa MUNGU. Halafu tumia akili kweny hoja zako.. hao chadema hata wakipinga wanaweza zuia mipango ya serikali? Tatizo hamkujiandaa na slogan ya viwanda mzee, viwanda havihitaji maneno mingi cjui cherehani nne ni kiwanda 🤣🤣🤣. Hapo ndipo mlifeli inapokuja issue ya utekelezaji haihitaji bejebeje mzee ni wekeza mamb yaonekane, huu ujinga wa kusingizia CDM acheni. CDM hawana uwezo wa kuzuia maendeleo.
 
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.

Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.
Kwanini bajeti yetu ni nusu ya bajeti ya Kenya?
 
Mkuu The Boss Hakuna Kitu Kama Hicho.
- Ufanye KIA the Biggest Transit in Africa, Na Kisha Ndege KLM, KQ, Ethiopian Airways, Emirates, Qatar, Etc. Zisiende NBO na Pax Wake? NO.
Kila Nchi ina Bilateral Commercial Trafic Agreement Treaty Zao.

Unasema ni impossible?
Au ni ngumu??
 
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.

Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.

Imeniumiza Roho sana hii.
KATIBA MPYA 💪
 
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.

Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.
Utajenga viwanda huku watu wanamimiwa risasi mchana wakiwa njiani kurudi majumbani kwao! ?
 
Wakenya wanatuzidi utapeli na huku Sisi tumezubaa..

Mfano asilimia 80 ya watalii wetu wanapitia Kenya...

Tungekuwa wajanja tungeifanya KIA kuwa the biggest Transit Airport in Africa...
Ingesaidia mno watalii wanakuja wanatua kwanza KIA halafu ndo wanaamua kwenda Kenya au Dar au Zanzibar...

Hili kufanyika linahitaji brains sio blah blah
Hatutaki kufanya maamuzi,

Viongozi wetu hawataki kufanya maamuzi.
 
Ukweli mchungu Jiwe alichezea uchumi miaka 5 bila budget kuongezeka wala kuwa na graph inayopanda

Sasahivi tungekuwa kwenye trion 50 ila utoto wa kuchezea walipa kodi na kuwafirisi ndio zao lake hili.
MWENDAKUZIMU AMETURUDISHA NYUMA MIAKA 10.
 
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.

Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.

Imeniumiza Roho sana hii.
Bajeti imekidhi haja ya watanzania Mimi ninavyoona.
 
Wakati Diaspora wa Kenya hapo 2019 waliweza kufanya remittance ya $75 Billoni na kuchangia 3% ya GDP...

Huko Lumumba walikua wanaunda vikundi vya MATAGA kutunga mapambio ya kumsifu mfalme!

Huku Diaspora wakiitwa sio wazalendo na pesa zao ni za kibeberu

So far leo ,hii wakitoa takwimu mnadhani tutakua sawa?
 
Imagine bajeti ya kenya yenye GDP 100BLn USD inakaribiana na ya Nigeria yenye GDP 500+ Bln USD.
 
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.

Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.

Imeniumiza Roho sana hii.
Hiyo bajeti ndogo ya tanzania itafanya mambo yenye thamani kubwa kwa umma kuliko ya kenya. Kenya kiasi kikubwa kitaishia mifukoni kwa watu kwa rushwa.
 
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.

Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.
Akili yako kila kitu unakimbiliaga kwenye vyama badala ya kujielekeza kwenye hoja. Hata akiwa Ni cdm Ni mtz jibu hoja.
 
Kwa Bajeti hizi za Africa Mashariki Kenya itazidi kupaa sana. Bajeti ya Kenya ni takriban mara mbili ya Bajeti ya Tanzania. Ukijumlisha Bajeti ya Tanzania na Uganda bado haifikii Bajeti ya Kenya.

Hii inaonyesha Kenya inaweza Kuendelea mara Mbili zaidi ya Tanzania na Uganda. Nadhani kuna kitu Tanzania tunahitaji kufanya. Kenya hawezi kua na Bajeti mara mbili kutuzidi wakati sisi Tanzania tuna Mambo mengi wezeshi kuwazidi.

Imeniumiza Roho sana hii.
Siyo hivyo tu bali ni kwamba bajeti ya Kenya Ni kubwa kuliko nchi zote zingine za Afrika Maahariki (Tanzania, Uganda, Rwanda, Burundi na South Sudan).

Huo ndiyo ukweli hata wa uchumi wao ni mkubwa kuliko wa nchi zote hizo.

Kwa mtazamo wangu ni vizuri ambavyo tunafufua mashirikiano na Kenya ili tuweze kuwafikia kuliko na kujihusisha na vinchi kama Rwanda kama ilivyokuwa wakati wa Mwendazake
 
Kazi kusifia Wakenya badala ya kusifia mazuri ya Tanzania.

Chadema wakiambiwa tujenge Tanzania ya viwanda ili tuwe na uzalishaji mkubwa wanapinga.

Duh unatia kinyaa kila mada lazima uitaje CHADEMA.Hii mada ni fikirishi kweli kweli kama waTanzania lazima tujiulize tunakwama wapi ?.
 
Back
Top Bottom