fuentte
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 2,809
- 8,032
Mkuu The Boss kuna thread moja uliwahi kuchangia namna ambavyo utalii unaweza kuinua uchumi wa tanzania endapo tukiwa serious kwenye kuwekeza miundombinu ya kuwavutia watalii na kuongeza idadi yao walau mara 5 tu kwa idadi iliyopo sasa. Kwa maoni yangu,ununuzi wa ndege,hili lilikuwa moja ya lengo kuu pamoja na kurahisisha usafiri wa moja kwa moja bila kupitia kwa majirani.Wakenya wanatuzidi utapeli na huku Sisi tumezubaa..
Mfano asilimia 80 ya watalii wetu wanapitia Kenya...
Tungekuwa wajanja tungeifanya KIA kuwa the biggest Transit Airport in Africa...
Ingesaidia mno watalii wanakuja wanatua kwanza KIA halafu ndo wanaamua kwenda Kenya au Dar au Zanzibar...
Hili kufanyika linahitaji brains sio blah blah