Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Am speechless,

Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,

Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
Am speechless,

Hivi kumbe huyu mama anafanya kazi kubwa kiasi hiki?
Aise Mungu huyu, kumbe Samia ni mtambo mpya mwingine banda ya Mafuli aise,

Naandika nafuta,naandika nafuta, Mungu jalia mipango ya huyu Mama,
Kazi zake hazina mfano wake ....!!!
 
Tunaweza kutenga fedha nyingi sana za usambasaji wa maji safi na salama kwa nchi nzima. Lakini pia tukumbuke maji haya hayatengenezwi maabara, maji hutoka kwenye vyanzo vya maji vilivyohifadhiwa. Maji hutoka kwenye mito, maziwa, chemichemi, au chini ya ardhi. Wakati tunaendelea kufikiri jinsi ya kutumia to the maximum vyanzo hivi, pia tutege fedha ya kutosha, sera na sheria kwa ajili yta hifadhi ya vynzo tajwa. Mifano mingine inashikitisha..... ukipita mto Ruvu kwa mfano ambao ndiyo chanzo kikuu cha maji kwa jiji la Dar es Salaam, ukiangalia jinsi riparian land inavyochezewa na wakulima wa mbogamboga na hakuna mtu anayesema kitu , huoni watu wa DAWASA, Mazingira au Bonde la maji wapo serious na uhifadhi wa mto huu. Niliwahi kuona kibao kilipopauka kimezingirwa na nyasi karibu na daraja la Ruvu kinakataza kulima jirani na mto.
 
Nchi ngumu sana hii yaani bado tunahangaika na maji sijui kukaa kwenye madawati, wakati wenzetu wanaenda kwenye sayari nyingine na kurudi wanavumbua mateknolojia makubwa hadi ya kusafisha maji ya bahari kuwa maji safi, juzi tu hapa DAWASA wamesema kiwango cha maji kimepungua hivyo yatakua hayatoshi sasa najiuliza maji ya Ruvu yakikauka kutakua na maji kweli Dar na Pwani? hawana vyanzo vipya no creativity no nothing , ukiuliza unaambiwa wanaupiga mwingi
 
Maeneo yaliyofanikiwa kupata maji hayapati maji salama, yanapata maji safi kwa kiasi fulani lakini si salama.
 
Thubutu!

Subiri uone kiwango cha bajeti kitakachotekelezeka ifikapo mwisho wa Mwaka wa serikali.
 
Safi sana hii
 
Karibu na wewe mkuu,

Sio kusifu ni kueleza mazuri ya Rais Samia
Ya Kwanza hii...ila kama malipo mazuri namimi niunganishe kwenye payroll ntakuwa solo lead kwenye hii bendi ya kusifu Na kuabudu
 
Hongera Awesome
 
Awesome Aweso
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…