Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Kwelidaah, Watu na chokochoko zao,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwelidaah, Watu na chokochoko zao,
Kila kona mambo ni byeee,Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.
Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza ametenga jumla ya Tshs 589.4BL kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima, bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake,
Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake hatimaye rais huyu mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake kwa kutenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia,
Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15% huku mjini ikiwa ni 86% na vijijini ni 72.3% huku lengo la Serikali lilikuwa ni kufikia 85% mwaka 2025 na 90% ifikapo mwaka 2035 but kwa kasi hii ya Rais Samia ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka mmoja ya Rais Samia ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,kwa lugha rahisi kabisa " Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake " au 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia, Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia,
#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake,
VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1965592
Njoo tuYa Kwanza hii...ila kama malipo mazuri namimi niunganishe kwenye payroll ntakuwa solo lead kwenye hii bendi ya kusifu Na kuabudu
Kazi nzuri sana Rais Samia,Ifikapo mwaka 2030 Shida ya maji safi na salama Tanzania huenda ikasalia kuwa historia | Bajeti mpya ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21.
Rais Samia Suluhu Hassan kwenye bajeti yake ya maji ya kwanza ametenga jumla ya Tshs 589.4BL kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji safi na salama mjini na vijijini nchi nzima, bajeti hii ni sawa na ongezeko la 284% kutoka Tshs 207.5BL zilizotolewa kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji huo wa maji safi na salama FY2020|21,Bajeti hii ya Rais Samia ni karibu maratatu zaidi ya ile ya mtangulizi wake,
Kwakuwa Rais Samia Suluhu Hassan ni mwanamke na kwakuwa zaidi 80% ya wanaopata adha ya maji mjini na vijijini ni wanawake hatimaye rais huyu mnyenyekevu ameamua kwa vitendo " Kuwatua Ndoo Vichwani " wanawake wenzake kwa kutenga kiasi hiki kikubwa cha fedha kwaajili ya Uchimbaji na Usambazaji wa maji mjini na vijiji,kiasi hiki cha fedha ya maendeleo hakijawahi kutengwa na serikali yeyote tangu uhuru,Heko Rais Samia,
Wastani wa upatikanaji wa maji safi na salama mjini na vijini ni 79.15% huku mjini ikiwa ni 86% na vijijini ni 72.3% huku lengo la Serikali lilikuwa ni kufikia 85% mwaka 2025 na 90% ifikapo mwaka 2035 but kwa kasi hii ya Rais Samia ambapo thamani ya bajeti ya maji ya mwaka mmoja ya Rais Samia ni sawa na thamani ya miaka mitatu ya bajeti ya maji ya Serikali iliyofanya makisio hayo,kwa lugha rahisi kabisa " Mwaka mmoja wa maji wa Rais Samia ni sawa na miaka mitatu ya maji ya mtangulize wake " au 1:3 yaani malengo ya maji ya Miaka 10 kwenye Serikali iliyopita yatatekelezwa kwa miaka 3.3 tu na Rais Samia, Kama kuna mtu wa kuombewa zaidi kwa sasa Tanzania basi ni Rais Samia,
#Nchi yenu iko katika Uelekeo Sahihi zaidi pengine tangu kuasisiwa kwake,
VIVA SAMIA VIVA ||VIVA TANZANIA VIVA
View attachment 1965592
Ngwoswe ndio nani?Huyu ngoswe nimtumishi wa jf? Mbona anavihoja vyaujinga na kilasaa hojazake zinatamalaki humu?! Au jf ishauzwa kwa mabwanyenye?
Unahoja nzuri sana mkuuTatizo la maji safi na salama ni kubwa kuliko linavyofikiriwa.
Utafiti rasmi ukifanyika, yawezekana zaidi ya asilimia 90 ya vijiji havina maji safi na salama ya kutosha.
Sehemu nyingi maji ni ya visima yasiyo safi wala salama.
UnayohojaTatizo la maji safi na salama ni kubwa kuliko linavyofikiriwa.
Utafiti rasmi ukifanyika, yawezekana zaidi ya asilimia 90 ya vijiji havina maji safi na salama ya kutosha.
Sehemu nyingi maji ni ya visima yasiyo safi wala salama.
Kwani mnachangamoto yeyote?Tatizo ni utekelezaji wa hayo yaliyopangwa
Pesa za covid 19, tozo na IMF huku kwetu hatuoni chochote kinachoendelea
nakuelewaTatizo la maji safi na salama ni kubwa kuliko linavyofikiriwa.
Utafiti rasmi ukifanyika, yawezekana zaidi ya asilimia 90 ya vijiji havina maji safi na salama ya kutosha.
Sehemu nyingi maji ni ya visima yasiyo safi wala salama.
Wizara ya maji Ina waziri mchapakazi hata mama alishathibitisha hili lkn wizara hii ina majizi toka kwa wakurugenzi Hadi kwa waasoma mita huku chini,hatuazinahitajika.
Wewe utakuwa unadaiwa bili ya maji, cha msingi ukalipe bili ya majiWizara ya maji Ina waziri mchapakazi hata mama alishathibitisha hili lkn wizara hii ina majizi toka kwa wakurugenzi Hadi kwa waasoma mita huku chini,hatuazinahitajika.
Bili na wizi wa pesa za miradi wapi na wapi,kitu serious Kama miradi kutokamilika ww unaleta mizaha,kuna shida.Wewe utakuwa unadaiwa bili ya maji, cha msingi ukalipe bili ya maji
Kwani mnachangamoto yeyote?
Wwe umekatazwa kuleta zako?Huyu ngoswe nimtumishi wa jf? Mbona anavihoja vyaujinga na kilasaa hojazake zinatamalaki humu?! Au jf ishauzwa kwa mabwanyenye?