Bajeti ya maji ya Rais Samia ni karibu mara tatu zaidi ya ile ya FY2020|21

Kila kona mambo ni byeee,
Huyu mama ni namba nyingine
 
Huyu ngoswe nimtumishi wa jf? Mbona anavihoja vyaujinga na kilasaa hojazake zinatamalaki humu?! Au jf ishauzwa kwa mabwanyenye?
 
Kazi nzuri sana Rais Samia,
 
Tatizo la maji safi na salama ni kubwa kuliko linavyofikiriwa.
Utafiti rasmi ukifanyika, yawezekana zaidi ya asilimia 90 ya vijiji havina maji safi na salama ya kutosha.
Sehemu nyingi maji ni ya visima yasiyo safi wala salama.
 
Unahoja nzuri sana mkuu
 
Tatizo ni utekelezaji wa hayo yaliyopangwa

Pesa za covid 19, tozo na IMF huku kwetu hatuoni chochote kinachoendelea
 
Tatizo la maji safi na salama ni kubwa kuliko linavyofikiriwa.
Utafiti rasmi ukifanyika, yawezekana zaidi ya asilimia 90 ya vijiji havina maji safi na salama ya kutosha.
Sehemu nyingi maji ni ya visima yasiyo safi wala salama.
Unayohoja
 
nakuelewa
 
Wizara ya maji Ina waziri mchapakazi hata mama alishathibitisha hili lkn wizara hii ina majizi toka kwa wakurugenzi Hadi kwa waasoma mita huku chini,hatuazinahitajika.
 
Wewe utakuwa unadaiwa bili ya maji, cha msingi ukalipe bili ya maji
 
Bili na wizi wa pesa za miradi wapi na wapi,kitu serious Kama miradi kutokamilika ww unaleta mizaha,kuna shida.
 
Kwani mnachangamoto yeyote?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…